Wadada na wizi wa aina mpya

hii mbinu mkuuu tena huyo amekushindwa unakabwa kooo hadi unatoa hela mwingine hadi kulia analia..
 

Duh... Pole sana kaka!!! mekumiss ujue.....
 
Usiogope tuko pamoja dadaangu mpendwa...nina sababu kadha zilizonifanya niwe kimya, but nitakucall muda wowote..
Pamoko sana.
 
Wakuu salaam,offtopic hatimae nimekua member mmu.salam smile,preta,mzizi mkavu shujaa wangu,na wengineo.nina furaha leo
 
Hapana sio wa hapa jimmy ye alipiga akakosea namba basi akangangania mpaka nauliza alikuwa anajaribu kusikia sauti ya mdada
 
Preta
Smile
Blaki Womani
KOKUTONA
Passion Lady
Lady doctor
Semeni mshawahi kijikosesha namba?...mara ngapi na je ililipa?

Nisiseme uongo iliwahi kunitokea, nilisomewa namba na mtu ili nimpigie mtu fulani nimpe maelekezo fulani. Katika kucopy nokakosea namba mojabila kujua. Nika dial bwana akapokea jamaa nikamuuliza naongea na fulani? PakaJimmy niliporomoshewa matusi na huyo mkaka, nikajaribu kumwelewesha hakutaka kunielewa, nilivyoona anaendelea kutuna nikamwambia basi samahani nikakata simu, nikabidi nitrace upya aliyenipa namba nikagundua nimekosea but nikapewa correct no, nikamaliza shida zangu.
Baada ya 2hrs naona namba ninapiga, kuona nikakumbuka is that wrong number, sikupokea ns sikuwa na sbb ya kufanya hivyo. Akaamua atext, ooh sorry nimekutukana sana hadi nimejisikia guilt, nilidhani ni wale wadada wanaopiga simu kujifanya wamekosea namba kumbe wana yao na bla bla nyingi, oh nimetafakari nimeona ulikuwa genuine, pia una sauti nyororo, we can be friends.
Yaani nilibaki kucheka tu, sikumjibu, sasa umenikumbusha kisa hiki, na kumbe baadhi ya wadada hii wamefanya technique endelevu kujipatia chochote kitu.
Tufanye kazi jamani
 
Last edited by a moderator:
Na mara nyingi wadada ambao wanajifanya wanashida huwafuata wanaume na si wanawake wenzao, ni kawaida hata kwenye kituo cha daladala mtu anajifanya anashida unaona anakunong'oneza na ukimtolea nje anasogea kwa mtu mwingine mwanaume hivyo hivyo

hata mimi nikiwa na shida yoyote na kama nitahitaji msaada hata wa kuuliza njia simfuati mwanamke hata siku moja wana dharau sanaaaaa atakushusha atakupandisha na usikute hata huo msaada asikupe lakini mwanaume atakuelekeza kiroho safiiiiiiii
 
hata mimi nikiwa na shida yoyote na kama nitahitaji msaada hata wa kuuliza njia simfuati mwanamke hata siku moja wana dharau sanaaaaa atakushusha atakupandisha na usikute hata huo msaada asikupe lakini mwanaume atakuelekeza kiroho safiiiiiiii
Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe maana sijui huu mfumo dume wanaolalamika wanaharakati utaondokaje kama mambo yenyewe ni haya, kiukweli kinadada ndivyo walivyo maana hata uswahilini ukikuta wamekaa kibarazani wanamchambua mwanamke mwenzao ambae anapita barabarani utasema wao wapo perfect na good looking (kumbe kawafubika mbaya ila wakiwa kikundi kila mtu anajiona bomba huku wakimtoa kasoro mwanamke mwanzao)
 
hee pole bestito mbona hiyo mbinu walikuwa wanatumia zamani sana huyo mdada ajabuni mbinu ingine ya kula
 
Haa! katrick kazuri hako! wallah mimi nilivyo weak kwenye tusauti mwororo twa wadada hapo ningeingia mkenge! loo! Mungu anisaidie!
Wakati mwingine unahitaji kuwa makini maana mrembo wako anaweza kumtuma mtu akupime joto kujua issue kama hizo unazi-handle vipi
 
PakaJimmy, mie mwenyewe siku hizi nakishangaa hichi kizazi.
Wanawake walikuwepo zamani aisee, siku hizi ukicheza unabakwa. namuangalia paw wangu namuonea huruma, anawindwa kama swala kwenye pori kame, manake sio simba tu hata mamba wanamtaka!:croc:

Ila nakuhakikishia wanaume pia wanasaka kwa namna hiyo. tumeshajikubalia wanaume ni maaluni, ila kuna siku kaka mmoja nilikuwa nae na akapewa namba ya simu bila mie kujua. nilikuwa mpole, manake hata sikustukia mchezo.
WANAWAKE TUMEWEZA TUKAMSHINDA MWALIMU:rip::croc:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…