[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]hahahaaa mimi manka eti nitamjaza si anapenda kujazwa hatosheki chupa itamtoshea kabla ya hapo namvua nguo zote hadharani si mtuhumiwa bwana kwanini wizi wa waume za watu?
Habari wapendwa,
Wadada leo naomba tujikumbushe kitu kidogo hapa :- Ni kuhusu kuchagua watu wa kuwa nao kwenye mahusiano mf: -kumezuka wimbi la wasichana kupenda kutembea na waume za watu kisa wapate pesa za kujikimu kimaisha kwa upande wangu mimi naona tunakosea sana hiyo tabia na kwanza utachelewa sana maisha kwa kupenda vya dezo mwisho wa siku vitakutokea puani wewe msichana mdogo umeng'ang'ana na mizee isiyojiheshimu kisa anakupa hela na bora hata iwe hela sasa 50000 huoni kama ni dharau?
Yani kakuona jalala la kumwagia taka mwili wake puu! Kwanini wadada tusijikite katika kutafuta maisha? Mume wa mtu akikutongoza ujue kakuona wewe ni dastibini zile za barabarani ambazo kila mpita njia anatupia taka na kwenda zake, yani limtu na mauchafu yake wewe unalikubali maana hakuna malengo yoyote kawashwa huko kaona aje kwako ni bora utulie upate wako asiye na mke ukipenda vya dezo utatumika hadi utakuwa unatembea upande upande.
Tuacheni jamani.
Mkuu vipi ushafanikiwa? REF; Natafuta mchumba atakayekuwa mkeHabari wapendwa,

Hahahaaa vipi unatafuta mme kama vipi niPm sijapata bado nasachiMkuu vipi ushafanikiwa? REF; Natafuta mchumba atakayekuwa mke
atakuwaje na mmoja wakati yeye ni kama pipi iliyovuliwa ganda??? kila nzi apitaye anataka kutua apate utamu aende zake!!!!! Tujipende jamani jua thamani ya kila kiungo chako, usidandanywe na starehe ya mda mfupiWanapeleka tuu kaswende kwenye nyumba za watu maana mbeba waume za watu hanaga mme mmoja
Mm sina Mke !! Natafuta Mke wa kumuoa!! Aje DpHahahaaa mbona wanaume wasio na wanawake ni wengi tuu? Kwanini tunapenda kuwafata wale ambao wameshatengenezwa na wake zao? Utakuta wametoka mbali yule mwanaume alikua sii lolote sii chochote angekufata enzi hizo usingekubali mwenzio kamrekebisha jini mkata kamba ndio mimacho inaanza kumtoka
Aiseee!!! Home sweet homeRombo Tarakea
Duu mkuu wewe ndio umevurugwa wanajuaga wanapendwa kama kakupenda sana kwanini asimwache mkewe akuoe wewe? Inamaanisha mkewe ni the best katika wanawake wote aliowahi kuwaona upendo na heshima zake zote kampa kwako wewe ni punguza muwashoatakuwaje na mmoja wakati yeye ni kama pipi iliyovuliwa ganda??? kila nzi apitaye anataka kutua apate utamu aende zake!!!!! Tujipende jamani jua thamani ya kila kiungo chako, usidandanywe na starehe ya mda mfupi
Eeeeh yenywe lazma shikishweSiui bwana ila namtia adabu
Ooh! Nmepga sana miseleMjini hapohapo
Duu mkuu wewe ndio umevurugwa kabisa hahahaaa wanajuaga wanapendwa kama kakupenda sana kwanini asimwache mkewe akuoe wewe? Inamaanisha mkewe ni the best katika wanawake wote aliowahi kuwaona upendo na heshima zake zote kampa kwako wewe ni punguza muwasho
eti kutembea upande ? okey ujumbe mzuri sana wakukusikia na wasikie tu ... kukubali kupewa elfu hamsini ni upungufu wa mipango...... me huwa nasema tembea na mume wa mtu jua unataka nini kwake kama ni pesa iwe ya maana na hakikisha hatesi familia yake kwa ajili yako ukiweza hii principle basi utakuwa ni wale washindi wachache ........... ila pia uzinzi ni dhambi na jiandae pia kuja kuliwa mumeo incase ukiolewa malipo ni hapa hapa duniani...... huwa nawauliza hivi ukija kusikia mumeo anatembea na demu mwingine utajisikiaje HUWA MNAJIBU KWA UJASIRI HAWEZI NA MIMI NAJUA NJIA ZOTE ZA KUMBANA , MY DEAR KEEP IN MIND UKILA VYA WENZIO NA VYAKO TUTAVILA TU RAFIKI.. kila la heri
Duuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!! Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu... Kwa hiyo sasa hivi amebadili jinsia na kuwa K.... Mayoooooo hili jukwaa halitufai sisi wazee....Mkuu vipi ushafanikiwa? REF; Natafuta mchumba atakayekuwa mke
Yani hapo huwezi kujua kitu kaa kimya mkuu kumbukumbu ninayo ndefu sana hlf trans gender huijui?Duuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!!!!! Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu... Kwa hiyo sasa hivi amebadili jinsia na kuwa K.... Mayoooooo hili jukwaa halitufai sisi wazee....
Wengine wanatupendea vitu tofauti na pesa. Pesa wanazo wanakuja kupata wasivyovipata kwingineko.Hivi kwani kila Mme wa mtu anahela,,,,au ndo kale kamsemo "behind the success man there is strong woman" ,,,cha maana watafute pesa zao tuu wapunguze kukinga mkono
Sent using Jamii Forums mobile app