Wadada na waume za watu

Mleta mada una safari ndefu sana, na utaumia sana. Coz umeongelea upande mmoja wa kina dada, na mimi naongelea upande huo wa kina dada tu. Iko hivi, mdada single kutembea na mume wa mtu si kosa. Unaanzaje kumwambia ana-cheat....how!!!!. Hata dhamira yake haimgusi, we waulize tu. Hiyo ni mosi, pili.....mke wa mtu au mdada mwenye mahusiano kutembea na mwanaume mwingine hilo ni kosa, kosa kubwa. Hata dhamira zao huwa zinawasuta, we waulize. Kama wapo humu watatoa ushuhuda. Tatizo kuna watu (labda kama wewe) wanawalisha wenzao 'mashudu'. Wanapingana na ukweli. Matokeo yake jamii inakuwa kama Mbuni, kuna tatizo yeye anaficha kichwa tu. Hebu nisijichoshe kuandika, soma hapo down kwanza (japo kuna uwezekano mkubwa hutaelewa).
 


Umeandika uroto alafu umevaa hijabu, ndo mana huwa nawachojoa hayo manguo ... Funua natupia kimoja napita hivi,, Uninja wote kwixh ney
 
Ukiona wewe mwanamke hujatongozwa na mwanaume mwaka mzima ujue unayo kasoro kubwa mwanamke ni pambo na ana zidi kuwa wa thamani kadri anavyo tongozwa zaidi na hizo ndio principles ku gegedwa ndio Afya mwanamke anayegegedwa zaidi ana Afya bora zaidi ni mcheshi na mwenye furaha muda mwingi na ngozi nyororo hana mahasira hasira ya kijinga na mara nyingi ana mafanikio zaidi kwa sababu anakuwa na utulivu mkubwa kutembea upande hakuna utafiti wowote ulio thibitisha hivyo mapenzi au sex ni kila kitu.

Mke wangu sina vishtobe bhn mbona unakuja kunipaka huku bila taarifa mupenzi ..?? Alafu sijawahi kuwatembeza upande bhn


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada umeielewa? Au umesomewa? Ngoja basi nikuelekeze iko hivii: ni ushauri kwa wadada waache kupotezewa muda na waume za watu watachelewa kufanya maisha
 
Kwani tumesema wadada waache kusex? Au sex inapatikana kwa waume za watu pekee single guyz wamekatika nyeti zao? Acheni kuchochea uzinzi changia madahmada halaf unashangaza kishenzi komenti ndefu kama mkojo yani duu magugu maji tupu mkuu vipi?
 
Umeandika uroto alafu umevaa hijabu, ndo mana huwa nawachojoa hayo manguo ... Funua natupia kimoja napita hivi,, Uninja wote kwixh ney
Mme na wewe kazi yako kunichunguza ninapopita?
 
Tunaambiwa wanawake ni wengi kuzidi wanaume kwa zaidi ya asilimia 3.Sasa hao ambao hawana wanaume waende wapi na kuna dini haziruhusu zaidi ya mke mmoja? Tusidhani wanafanya hivyo kwa kupanda,nao ni wanadamu wanastahili kupendwa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kivipi? Inaingiliana vipi na mada? Kha!!udanganyi sio lazima uwe kutoka kwa waume za watu ila hatuongelei udanganyi
wale wadada wanaotembea na waume za watu kwa ajili ya kupata fedha...huo pia ni udangaji hata kama sio lazima
 
 
Haki UKIMWI hautatuacha kwa cheni za ngono
 
C n wivu tu kuona kwann
Mwenzao anafaid pekeake

Hujawah kuona mwanaume
Ambae n malaya ndo hua
Anang"ang"aniwa sana na
Wanawake

Triple A
Tabia mbaya sana
 
Atafute na yeye wa kumliwaza hajafungwa miguu why ujipe stress hao mipango ya kando wengine hata sio wasichana ni wake za watu wameamua kutoa stress zao kwa Mme wa mwingine
Ninae tokea zamani siku nikimfumania na mdada huyo dada namjaza chupa
 
Ninae tokea zamani siku nikimfumani na mdada huyo dada namjaza chupa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kweli wanawake hamtakian
Mazur

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Umeongea kitu cha msingi saaaana yaaani tumezidi kwa kweli
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kweli wanawake hamtakian
Mazur

Triple A
hahahaaa mimi manka eti nitamjaza si anapenda kujazwa hatosheki chupa itamtoshea kabla ya hapo namvua nguo zote hadharani si mtuhumiwa bwana kwanini wizi wa waume za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…