Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Na kwa nini niyaonyeshe nikiwa naye? Matamanio pahala pake ni moyoni,huyo mpenzi atayaonaje?au nitakuwa nimeyabeba mikononi mpaka ayaone?
huoni kama huo ni usaliti? utaridhikanaye kama moyoni unaowengine unaowatamani?!!
 
Haaaa sio hau au kama mlinzi wa diamond yule hapana.utakuta mwanaume hana muscles hivyo ila anavutia tu bila machuma.kila mtu ana kivutio chake ila narudia tena na si kwa ubaya wanawake wengi hawapendi mavitambi yale makubwa kama wale ambao wako bungeni wamelala[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tanteeee.......
 
Chukulia niko single,halafu kuna mtu nimemtamani,sitovunga kumwambia kwa sababu mimi ni ke,ninapinga kauli yako kwenye thread kuwa wadada tukae tusubiri application,Je hiyo application isipokuja je?
Naona wanaume hutujui vizuri! mwanamke anayejileta tunamuona kama malaya na anaweza kwenda kumfuata mwanaume mwingine kwavile ameonyesha guts.kama upo single na hupati application kawekewe mikono na watumishi au kaoge baharini kama unaamini huko.hiyo ni nature.
 
Chukulia niko single,halafu kuna mtu nimemtamani,sitovunga kumwambia kwa sababu mimi ni ke,ninapinga kauli yako kwenye thread kuwa wadada tukae tusubiri application,Je hiyo application isipokuja je?
Patience ...that is very true gal...hakuna habari ya kusubiri application siku hizi ila wanawake wana mbinu zao wanatumia mpk jamaa akavutika lol.mwanamke hana haja ya kuongea na ku approach utajikuta unamfuata mwenyewe
 
Eleza mbinu zenu hizo za kimafia!
 
Back
Top Bottom