Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Tena tunatamani sana tu
Hafu mnaugulia moyoni, poleni sana. Sasa mnakuwa mnatamani kwa lengo la kufanya tendo letu lile au nyie tamaa yenu ikoje. Kwa sisi wanaume tunakuwa tunamani ili tuzame ndani ya pichu
 
Hahah hatari sana. Mi kuna dada muhudumu kila nikienda kwenye mgahawa lazima aanze vituko vyake. Mara aninawishe mikono mara mbili, sijamaliza kula huyo tayari na maji aninawishe, nimeagiza chai huyoo kaniletea chumvi, pilipili na malimao daah yaani nakuaga namuangalia nacheka kimoyomoyo maana naona anajiingiza kwenye makucha ya simba......
 
Umepewa ofa ya kubakwa na mabinti 2 bado unalalamika kweli kweliii!? Aah kweli wanaume wa Siku hizi bure kabisaaa na tusipoangalia Africa nzima wanaume tusiopenda kudhalilika tutabaki wawili (2) tu, Mimi na mh Zuma wa kwa zuru natal
Hahahaaaaa, sawa Mkuu
 
Aah Jombaa!Huyo ni mwanaume wa Darisalame!.... usichangae kabisa wako hivyo hivyo!We mwanaume gani unatamani ardhi ikumeze kisa umetamaniwa?!!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu hujasikia siku hizi kila binti akiulizwa unapenda mwanaume gani utasikia TALL, DARK AND HANDSOME...Na siku hizi wameongeza and SIX PACK...So sisi wa One Pack hatuna yetu tena....
Six packs utafia gym, cku hz inapendwa pochi
 
hahahaa.habari ndio hiyo japo hutaki kusikia
Nakupotezea Mada ina Maana nyingine we unaweza zako nadhani Kuna mwanamke Alisha kufanya kitu mbaya sana wewe Maana siku zote unawaponda my dear friend kama wewe ni rijali ni bora uwapende wanawake hawakwepeki
 
Hahah hatari sana. Mi kuna dada muhudumu kila nikienda kwenye mgahawa lazima aanze vituko vyake. Mara aninawishe mikono mara mbili, sijamaliza kula huyo tayari na maji aninawishe, nimeagiza chai huyoo kaniletea chumvi, pilipili na malimao daah yaani nakuaga namuangalia nacheka kimoyomoyo maana naona anajiingiza kwenye makucha ya simba......
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] bas sikunawishi Teena.... Kumbe wanicheka eeeeh
 
Nakupotezea Mada ina Maana nyingine we unaweza zako nadhani Kuna mwanamke Alisha kufanya kitu mbaya sana wewe Maana siku zote unawaponda my dear friend kama wewe ni rijali ni bora uwapende wanawake hawakwepeki
yametoka wapi tena haya?!! mbona unaleta vita bibafsi? ?maudhui ya mada unaweza kuyajua wewe mchangiaji kuliko mimi mtoa mada? pia mada zangu za nyuma kuhusu wanawake zinahusika vipi na hii ya leo? mada zangu natoa real event zilizonitokea sileti porojo hapa.usiwe unakurupuka.uanaume wangu au umwanamke wako hapa sio ishu.
 
Hahah hatari sana. Mi kuna dada muhudumu kila nikienda kwenye mgahawa lazima aanze vituko vyake. Mara aninawishe mikono mara mbili, sijamaliza kula huyo tayari na maji aninawishe, nimeagiza chai huyoo kaniletea chumvi, pilipili na malimao daah yaani nakuaga namuangalia nacheka kimoyomoyo maana naona anajiingiza kwenye makucha ya simba......
inaitwa invitation to treat kwa kisungu.....ukigusa hapo Mushi utakaa moja kwa moja.
 
yametoka wapi tena haya?!! mbona unaleta vita bibafsi? ?maudhui ya mada unaweza kuyajua wewe mchangiaji kuliko mimi mtoa mada? pia mada zangu za nyuma kuhusu wanawake zinahusika vipi na hii ya leo? mada zangu natoa real event zilizonitokea sileti porojo hapa.usiwe unakurupuka.uanaume wangu au umwanamke wako hapa sio ishu.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] sisomi
 
Aah Jombaa!Huyo ni mwanaume wa Darisalame!.... usichangae kabisa wako hivyo hivyo!We mwanaume gani unatamani ardhi ikumeze kisa umetamaniwa?!!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
abomination of the highest order! so kila mwanamke akikushobokea unamgegeda? huna tbs? hovyooo
 
Back
Top Bottom