Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Eleza mbinu zenu hizo za kimafia!
Haaaaa nilijuwa ntaulizwa...i did it when i was young and i dont expect anyone to judge me haaa....ni mtu niliyekuwa attracted to na sikukubali nilienda chooni nikarudi nilitaka aniangalie vizuri juu mpk chini then nimekaa si mbali naye nilikuwa nina smile kuhakikisha ana notice mwanya wangu lol mara kaja.ukini judge ntakumaliza [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
naona mpaka turbo unayo[emoji2] [emoji1] chapa ilale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani inafungua balaa mkuu zoezi linasaidia hii pulling mpaka ubust na konyagi uongo piga zoez piga matunda kwa wengi ni dawa tosha pombe si ishu inajaza tumbo....
 
Sidhani kama unajielewa usemacho,
Ngoja nikupuuze tu.
hata mimi nakupuuza kwakuwa ukitamani kitu ambacho nature inakuzuia kukipata unajitia uchizi kulazimisha upate huelewi kuwa unajishusha PR.
 
Back
Top Bottom