Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Umepewa ofa ya kubakwa na mabinti 2 bado unalalamika kweli kweliii!? Aah kweli wanaume wa Siku hizi bure kabisaaa na tusipoangalia Africa nzima wanaume tusiopenda kudhalilika tutabaki wawili (2) tu, Mimi na mh Zuma wa kwa zuru natal
Mdogo wangu lazima uwe na tbs sio kila mwanamke anayeonyesha mihemko ugonge! ikimbie zinaa.asema Bwana.
 
Una sexy body niniii....
Na sie tunahisia be.
mwili wa mtu ni hekalu la Bwana.sio kwaajiri ya kuridhisha kila kimwana! mihemko yao tu wale wadada.nipo.kawaida.
 
Aisee hata Mimi nikivaa bukta ya mazoezi mademu wanantaman sana kwan mgegedo wangu mrefu hadi unatokelezea
vipi demu wako naye akitamani wengine waliovaa hivyo.utajisikiaje?
 
Sasa kwanini huwa mnaugulia??
mkuu wakionyesha hisia zao kwa jinsi wanaume tulivyowengi itaonekana kama ni usaliti kwenye mahusiano yao.unaonaje una mpz wako anageuka kutamani midume mingine?
 
Sasa si unamwalika nyumbani unajifanya unaenda kuoga ukija unaachia taulo lidondoke!!...ndivyo wenzenu wanavyojilipua
wanaume wengi tunapenda mwanmke wa kutafuta kuliko wa kujileta.wa kujileta utamdharau na hamtadumu
 
Ndio mara ya kwanza unamuona kwenye pitapita za hapa na pale. Nameza mate nikiibia wajanja wa mjini wasinishtukie
kumbe mkitutolea mimacho nanyie mnakuwa mnataka huduma! kha! hatareee
 
daaa kweli kabisa ukiwa na ndambi madem wanakukataa ilinifanya nikaacha kitimoto na bia maana madem walikua wananikataa
 
Tatizo la wanaume wanadhani wanawake si binadamu. Vest na bukta dukani upo uchi kabisa
aisee! nafuu nimejifunza leo! nimezoea gym hata wanawake wanavaa nguo za mazoezi tunakuwa poa tu.hakuna anayemsisimua mwenzie
 
Tunatamani vizuri tu kama nyinyi tena nikiona likitambi siangalii mara mbili.kuna vitambi vingine ni mpitilizo wa ajabu...huo nope!!
Dunia ina mambo,mpenzi wako akugundua hilo usalama upo kweli?!
 
Nyie zenu hela tu.nimekuwa nafanya mazoezi na vijana wengine model lakini wasichana wa gym wanawachukulia kawaida tu.mwili bila life security sidhani kama ni kigezo poa
Sio wote wanaosisimka kwa mwili wa kimazoezi na sio wote wanasisimka kwa hela
 
Back
Top Bottom