Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,548
Duuu hii hatari sana... sijawahi kuwaza kumbeNinapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
Duuu hii hatari sana... sijawahi kuwaza kumbeNinapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
ukiwa na mpenzi/mke mwenye tamaa.jiandae kugongewa.Tena wao wanatamani hadi wanaumwa kabisa.Nimewahi kushuhudia dada amemtamani jamaa kesho yake nikamkuta anaumwa kumuuliza anasema yule jamaa wa jana sijui amemroga maana homa yote hii nikwa sababu ya kumuwaza tu.
It was just a joke bro, baada ya hekaheka za kukimbiza shillingi, tunakuja stressfree zone-JFHeshima na malengo ni vitu muhimu katika maisha.kila jambo na wakati wake mkuu.
hiyo sasa kama siyo mgegedo labda huwa unavaa chupi tuAisee hata Mimi nikivaa bukta ya mazoezi mademu wanantaman sana kwan mgegedo wangu mrefu hadi unatokelezea
mkuu hawa viumbe DAR wamejaa kila kona.sio wanaume wote tunawashobokea.pia wanaume tunahulka ya kupenda kuwinda ili kupata mnyama tumpendae sio kusubiri mnyama anayejileta umtafune! vya bure gharama ati.Wanaume wa dar kweli shida wewe unasifiwa badala ya kutumia hiyo opportunity wewe unakimbia.
Hapana,haya ni mawazo hasi,mwanamke naye ameumbwa na matamanio,ana haki ya kupenda na kueleza hisia zake..
Wadada tulieni msubiri application, kazi ya kutamani achieni wanaume.
Nikimpenda namwambia straight away...kuugulia rohoni na kuzunguka mbuyu hapana taka.Tunatamani kuliko wanaume Sema tumepewa ka_aibu
Mi Huwa nabaki naugulia moyoni
I can'tNikimpenda namwambia straight away...kuugulia rohoni na kuzunguka mbuyu hapana taka.
Wacha ubinafsiVizuri mkaendelea na aibu vinginevyo ukionyesha hisia wanaume tunakuona mcharuko.