Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,424
kwaiyo wanaume wasiokuwa na vifuana six pack kama walinzi wa club hawatamanishi?
Beer belly peleka huko....
kwaiyo wanaume wasiokuwa na vifuana six pack kama walinzi wa club hawatamanishi?
kwaiyo kutamani hakuna kikomo ?,Wanaweza kutamanisha kama watakua smart
sio wote wana hivyo vitambi!!!Beer belly peleka huko....
Hakuna mipakakwaiyo kutamani hakuna kikomo ?,
minilidhani mpaka uende gym maana huko ndiko mnakosifia sana.
Haaaa sio hau au kama mlinzi wa diamond yule hapana.utakuta mwanaume hana muscles hivyo ila anavutia tu bila machuma.kila mtu ana kivutio chake ila narudia tena na si kwa ubaya wanawake wengi hawapendi mavitambi yale makubwa kama wale ambao wako bungeni wamelala[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwaiyo wanaume wasiokuwa na vifuana six pack kama walinzi wa club hawatamanishi?
sawa na mimi sipendi wanawake wenye matumboHaaaa sio hau au kama mlinzi wa diamond yule hapana.utakuta mwanaume hana muscles hivyo ila anavutia tu bila machuma.kila mtu ana kivutio chake ila narudia tena na si kwa ubaya wanawake wengi hawapendi mavitambi yale makubwa kama wale ambao wako bungeni wamelala[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haaaaaa pilato..sawa na mimi sipendi wanawake wenye matumbo
AhahahahaHaaaa sio hau au kama mlinzi wa diamond yule hapana.utakuta mwanaume hana muscles hivyo ila anavutia tu bila machuma.kila mtu ana kivutio chake ila narudia tena na si kwa ubaya wanawake wengi hawapendi mavitambi yale makubwa kama wale ambao wako bungeni wamelala[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu hukuwai kusikia kuwa hawa wa kike wakikaa muda mrefu, mfano miezi mitatu bila kumuona mwanume wanachanganyikiwa kabisa siku watakayomuona??..,,waulize wale wadada waliosoma shule za bweni za jinsia moja, hope watakuelezea vizuri kabisa ndipo utakapo amini tamaa yao ni kubwa ushinda kushinda hata ya wa kiume.Leo asubuhi nimepita mahala nilikuwa nanunua household items nimekutana na wadada wawili mmoja muuzaji mwingine mteja. Wameniambia maneno magumu mpaka nimetamani ardhi inimeze palepale.
Nilivaa nguo na viatu vya mazoezi. Wale wadada wameanza kunichamba! wanasema sisi tukivaa kama wewe hamchelewi kutulaumu kuwa tunawatamanisha, mbona wewe hapo unatutamanisha tunatamani tukubake! was real schocked! sikuona kitu cha ajabu kuvaa bukta na singland nikiwa maeneo karibu na home. Sijawahi waza/kuambiwa maneno kama yale na walikuwa serious.
Nimeondoka kimyakimyaa kama nimedata fulani kwa kufedheheshwa kule na kupewa kisindikizo kuwa ninakoenda niwe makini nisibakwe!
Nimebaki najiuliza hizi nyapu nazo zinawaza kama wanaume?! Wadada nao wanakuwa na hisia na mwanaume kwa muonekano na mavazi? Nakemea hili pepo kwa jina la aliyesimamisha mbingu bila ya nguzo.
Wadada tulieni msubiri application, kazi ya kutamani achieni wanaume.
I used to yaani it's very sexyNinapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
Na hii nayo imekuwa changamoto wadada wengi wana mavitambi makubwa kushinda hata wanaume...Mbaya zaidi ukiwakuta hao wenye vitambi unakuta na mipaja mikubwa kiisi kwamba anaweza vua nguo akae hapo mbele na usione chochote maana tumbo limeshuka hadi kwenye mapaja..sawa na mimi sipendi wanawake wenye matumbo
Mh!, mbona una-sound Kama segito!?Una sexy body niniii....
Na sie tunahisia be.
Lakini nikitaka kuutendea haki msisimko wako unaleta bili/faini/tozo utadhania mnufaika Ni Mimi peke yanguHata nasie tuna misisimko
Hahahaaaa....naishi huko ila sio segito,kwani wewe ni mwagito?Mh!, mbona una-sound Kama segito!?
SijaelewaLakini nikitaka kuutendea haki msisimko wako unaleta bili/faini/tozo utadhania mnufaika Ni Mimi peke yangu
Unaendaga Gym ipi best unipitie tuwe wote, plz...Ninapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.