Wadada na nguo fupi!!!

jamani eeeh msituchoshee. nyie wanaume wa miaka hii sijui mna nini mbona zamani wanawake walikuwa wanaficha papuchi tu kwa magome ya miti lakini wanaume walivumilia tu na hawakuwa na tatizo kabisa.

Point of support!
Mwanmke akivaa minguo mirefu kam ninja ANACHUKIZA!Kama Kucha za miguu zimependeza na miguu inameremeta kwa lotion na ananukia uturi why DEMBA wangu avae minguo mirefuuu sijui mivitenge yenu?

Wanume wanaopenda wake/gals zao wavae minguo mirefu kuna gharama wanakwepa!
 
Last edited by a moderator:
Noa penseli yako kaka vichongeo ndo hivyo wacha vituburudishe, ukiona mwenye kimini nitonye tumalize mchakato...
 
Mie niko na wale wanao eti uplift matiti.wanaacha matiti wazi ili iweje? Mengine mabayaaaaa!
 
acha upepo upite kila mahali bhana kama eva asingesababisha watu tuwe civilized sasa ivi ungekuta wote hola i.e naked
 
Napenda sana ofisini kwetu hakunaga dress code, basi wadada wakiamua kuwaua siku hiyo nyie mnabaki tu ku appreciate af maisha yanasonga. Inasaidia pia kurelax mind!
 
Una uhakika mkubwa!? ...basi toa comments juu ya hii pia.
 
Mji huu unajoto xana acha watu wapunge upepo, Kwan lazma umuangalie mind u'r b'ness.
 
Utajibeba, mini nivae mie ukereke wewe, pole weee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…