Wadada na nguo fupi!!!

Wadada na nguo fupi!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,367
Reaction score
27,772
Habari zenu wanaMMU,.

Leo niko na nyie dada zangu ninaowaheshimu na kuwapa heshima mnayostahili!!

Back to the topic,.

Ninakereka sana na vijivazi vyenu mnavyovivaa siku hizi kwa kuwa haviendani kabisa na utamaduni wetu wa kitanzania na unapoteza maadili kabisa katika jamii husika, siyo wakina dada wala akina mama, wote wamejisahau kabisa, unamkuta mdada/mama amekuvalia mini-skirt kiasi kwamba nusu kama siyo robo tatu ya maumbile yake anayaacha wazi,.

Sijui mnafanya makusudi ama vipi maana bado sijapata jibu mpaka sasa, wengine wanasema mnawatega wanaume ili waingie kingi, wengine wanasema ndiyo kuendana na wakati hivyo yaani ni taabu tupu dada zangu, kwanini msivivae hivi vijivazi mkiwa na mabwana zenu humo vyumbani kwenu muwaonyeshe neema mlizojaaliwa ili wawafurahie maana ndiyo wanaostahili kuyaona maumbile yenu?.

Badilikeni ili jamii iwarejeshee heshima yenu tafadhali!!!
 
mkuu unatafuta ugonvi wewe!
 
jamani eeeh msituchoshee. nyie wanaume wa miaka hii sijui mna nini mbona zamani wanawake walikuwa wanaficha papuchi tu kwa magome ya miti lakini wanaume walivumilia tu na hawakuwa na tatizo kabisa.
 
Mnahusudu sana uasherati ndo maana hamna hata utukufu kwenye mambo yenu,mrudieni Muumba.
 
heeeh! Ni mwendo wa digitali ndugu, kila kitu lazima kiwe kidigito, mambo gan ya kufchana kama zama za analojia mtu unasachi siku nzima huambulii chaneli yoyoteee!! Tehe tehe! Halaf nan alikudanganya utamaduni wa muafrika ni kuvaa nguo ndefu? Historia umefundshwa na nan?
 
images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom