[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Boeng ni giant company so tupo wengiNimeshtuka sana [emoji1787] Boeing 747 nikajua wamekuibia account
Ndio hujamvutia na kipato chako. Ameridhika na kitochi chakeHuyu dada kapuku Sana, nimemzidi kipato Sana, simu yenyewe kitochi
SawaaaPunguza makasiriko.
Hawajibu msg na call zisizo za mantiki
Kabisa mkuuNdio hujamvutia na kipato chako. Ameridhika na kitochi chake
Bob sio wote ni ombaomba asee …. yaan mpaka uombwe hela kuna stage unakua umeshavuka 😅😅😅😅Cha ajabu mkitoa namba mnawaza kuomba hela tu..
Kuna masaa tunaomba namba ili kuongeza tu marafiki.
MmmmBob sio wote ni ombaomba asee …. yaan mpaka uombwe hela kuna stage unakua umeshavuka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pia sio kila mtu atakua interested na wewe at first place ukipewa namba jarib kuchunguza je ni mdada wa aina gani maana tunatofautiana in term of everything
Ukilijua hilo hutokua unalalamika hivo
Au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si unafuta no yake, unaendelea na maisha yako lol.
Unauza??Fanya muamala KWANZA ulionona uone kama sijapokea??? SASA ya nini kupokea simu ya mwanaume asiye jiongeza? [emoji849][emoji849][emoji849]
Na kuona screenshots za charting na BFF wake mamaee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunakuwa tunaview tu status za mikoba na magauni kule whattsapp
Difference ya umri wako na binti ni kama mingap hivi??Nlichojifunza kwa hawa viumbe nguo nyingi ni kuwa simu yake ispopigwa na wanaume, kila anayemwomba namba ana mpa ili tu uwepo usumbufusumbufu wa hapa na pale. Ila si kwamba kakuelewa. Akiwa ana waiting list labda ya watu 10 wote wanabaki kuwa status pending ila ana mmoja ama wawili ama wanne ndo wana confirmed status.
Kama mimi mschana mdogo sana anatoksha kuwa mtoto wa kuzaa kanielewa kishenzi, tunagidana hata kwenye gari karibu kila siku almost mara nne hedi tano kwa week. Hajwahiniomba hela ila nikagia simu yake washkaji wanapigwa mizinga balaaa, akaniambia hao wamejipendekeza wwnyewe.
Ndyo ivo bhana.
Na kutukata umetukana mkuuWaambie mafala sana wanatia hasira qmmke
Ukweli ni kwamba hata single unaishi vizuri maisha sio ya kuchukulia sana seriousIla jmn Kama huna vyako kupata manzi ni ngum kwa kweli dah Yan sometime inakuwa single co kwamba unapenda bas tu ndo ivo tena
Mh u single kwa mwanaume uliekamilika ni changamoto mkuu usiwape moyo vijanaUkweli ni kwamba hata single unaishi vizuri maisha sio ya kuchukulia sana serious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetishaTunakuwa tunaview tu status za mikoba na magauni kule whattsapp