Wadada na namba ya simu...

Hivi huu umalaya na uzinifu ni hapa Bongo tu au mpaka Ulaya?
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukupa namba kisha kugomea calls na sms zako.
Mtumie elfu 6100 atoe 5000 atakuafuta kila siku.
 
Mi ndo mana huwa sisave minamba yao, natuma sms, asipojibu napiga asipopokea nafuta text mpka calls immediately, usiwe unajipa stress kwa mijitu isiyojielewa.

Kukubaliwa ni faida, ila kukataliwa ni faida zaidi. Mwisho mifuko yako ndo itatoboka,na bado na kula usile pia 😄😄
 
Tatizo bhana mkipewaga namba nyie mnawaza kutongoza tu

Kuna masaa tunatoa namba ili kuongeza tu marafiki
Cha ajabu mkitoa namba mnawaza kuomba hela tu..
Kuna masaa tunaomba namba ili kuongeza tu marafiki.
 
Hivi huu umalaya na uzinifu ni hapa Bongo tu au mpaka Ulaya?
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukupa namba kisha kugomea calls na sms zako.
Mtumie elfu 6100 atoe 5000 atakuafuta kila siku.
Mmm sio wote
 
Kweli aisee sema huyu bi dada anaptaga kazin kwangu akiwa anaenda kwenye mihangaiko yake, Jana kaja kuniomba chenji kwenye bihashara yangu,nkamzoom, wakt Jana yake hakujbu text zangu
 
Pole sana mkuu.

Ila muwe mnasubiri hata siku moja mbili ndo mnaanza kupiga simu zenu na messages. Na muwe na utaratibu.
 
Apokee simu yako wakati hujui kuandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…