Ntaua mtuMwanamke kama Delilah akiamua kukushika atakudanganya tu ati siko kwa siku hatari wakati tayari asha plan mpk hospital atakayozalia, na gari atakayonunuliwa akishazaa na hata international school ya mwanae. ktk mambo ambayo niliwaambiwa vijana wangu never ever trust a woman akikuambia mambo ya siku za hatari coz mwanamke wanafikiria 10 years after atakavyofuja pesa zako kisa matumizi ya mtoto au ndoa ya lazima, wengine hata ana kuharibia na ndoa yako kabisa. So dear unless unazungumzia wanawake watu wazima ambao wako kwa menopause but the rest don't trust them unless ni mke wako period!
Hahahaaaa!! Nishaandaa mpenzi. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hawajui
Andaa taulo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaaa!! Alafu kweli, zile darling sizioni tena. Ndio mapenzi yamekufa hivyo jamani!!Yaani nshatoswa huku huoni hata zile darling kwishnei,,
Yaani imenibidi niwe mpole tu huoni saiv navyohangaika km msimbeHahahaaaa!! Alafu kweli, zile darling sizioni tena. Ndio mapenzi yamekufa hivyo jamani!!
Mara nyingi atakufanya ndondocha tu unapewa limbwata husikii wala huoni na atashangaa unalea hata watoto aliozalishwa na mwanaume mwingineNtaua mtu
Hahahaaaaa!! Mbona msimbe,wewe ndio unajua kumtuliza bwana, hebu mrudie bwana uokoe jahazi.Yaani imenibidi niwe mpole tu huoni saiv navyohangaika km msimbe
Kumrudia siwezi wewe japo najua amemiss tashtiti zangu namuona kawa mpweke lkn kuna mtu sitaki kumkwazaHahahaaaaa!! Mbona msimbe,wewe ndio unajua kumtuliza bwana, hebu mrudie bwana uokoe jahazi.
Ndio mambo unayoyapenda hayo shemeji kufurahia mabaya ya wanawake maana sio kwa furaha hizo mhhhhh sijaamini macho yangu ujue.WAMBIE MAMAAA WAMBIEEEEEEE YAAAN WAMBIEEEEEE...
MAANA WANADHAN WAKITOA MIILI KAMA USHIKAUCHUMBA AU KUBEBA MIMBA NDO WATAOLEWA ..
aiseeeee boooooongo weeeeee .......nasiku wanaume wamejijua kweli ,,anakupa mimba alafu uyoooooo.
Pumbavu wewe, wakati unamvua chupi hukujua kuwa she is a prostitute? muwe na heshima kwa akina dada sometimesI was once a victim of this stupidity. May God curse that everlasting prostitute.
Shem kanishinda tabia ujueHahahhaaaa! Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe lol!!
Shem utakuwa mhanga maana sio kwa kuchangamka huku.
Ubarikiwe wewe na uzao wakoPumbavu wewe, wakati unamvua chupi hukujua kuwa she is a prostitute? muwe na heshima kwa akina dada sometimes
Kavurugwa sio bure.Shem kanishinda tabia ujue
Hivi unaenda kavu na demu kila siku na huku unaahidi kwamba mm siwezi kukuacha na ahadi nyingi, wengine wanaomba watoto lakini hao hao baadae oh! Mm sikutaki, ktk uchunguzi wangu wengi wanawake wamefanyiwa hivi, chanzo tamaa za Wanaume wengi ndio tabia zao, Hakuna kipindi kigumu kwa mwanamke km kipindi cha kuwa ujauzito wengi udhiakiwa uteseka na majuto huwa hapoHabari wakuu,
Kumezuka kajitabia ka wadads kubeba mimba ili waweze kuolewa.
Kijitabia hiki kimefanya wanaume kuoa tu hata kama hawakupenda kuoa.
Pia kimefanya wadada kuwa masingle mama.
Huku wakiacha lawama kwa wanaume waliowapa mimba kumbe chanzo ni wao.
Wadada acheni kujidhalilisha...ndoa huja kwa mpango wa Mungu...
NB: Sio wanawake wote
Yaan ww una akili sana, kila mmoja ana jukumu la kujikinga na mimba sasa mtu anaenda peku, ni kutokujielewa msiseme mnategeshewaUsawa huu mwanamme anayetembea peku anakuwa kashajinyang'anya leseni ya kusemahakutaka mimba mwenyewe.
Habari wakuu,
Kumezuka kajitabia ka wadads kubeba mimba ili waweze kuolewa.
Kijitabia hiki kimefanya wanaume kuoa tu hata kama hawakupenda kuoa.
Pia kimefanya wadada kuwa masingle mama.
Huku wakiacha lawama kwa wanaume waliowapa mimba kumbe chanzo ni wao.
Wadada acheni kujidhalilisha...ndoa huja kwa mpango wa Mungu...
NB: Sio wanawake wote
Mimi situmiagi kondomHivi nyie wanaume mnaolia kutegeshewa mimba condom hamzijui!! Unajijua hauko tayari kuwa baba wala kuoa basi kuwa responsible.