Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 8,273
- 25,297
Habari wakuu,
Kumezuka kajitabia ka wadads kubeba mimba ili waweze kuolewa.
Kijitabia hiki kimefanya wanaume kuoa tu hata kama hawakupenda kuoa.
Pia kimefanya wadada kuwa masingle mama.
Huku wakiacha lawama kwa wanaume waliowapa mimba kumbe chanzo ni wao.
Wadada acheni kujidhalilisha...ndoa huja kwa mpango wa Mungu...
NB: Sio wanawake wote