Wadada mtulie mnapokuwa jikoni

hapa ngoja nipite kwanza nitarudi kuchangia.nitawah home nikamchunguze dada anavyopika kabla sijaingia kutoa mchango hapa
 

Mume umenena hapa hata wasibishe kabisaa house gal manake nin hapa simply kasema pale ktk kuunga na sio kuchemsha kande au maharage hapa ktk process yakuunga mweeh shauri zeenu
 
simply siku hizi wanategemea sana h'girl na ndo chanzo cha konda kuwa driver.

utasikia wife anaropoka ... Ka unanjaa c uingie jikoni mwenyewe...>>>
Weeeeeeh nyoko., utarudi kwenu
 
Last edited by a moderator:
Baba V hahahha awewe mimi sina nyumba ndogo
 
Last edited by a moderator:
snowhite just kuuliza; hivi ushaolewa best?
ahahahhahhahahhahha nimeolewa best!na mume shababi kweli kweli!shurti nisipopika hali!labda kama nimesafiri na nikijitia kutegea alijua pishi langu hasa!lazima niulizwe kwani leo ilikuwaje hukuingia jikoni!!sa yote ya nini hayo best!mi hata nirudi home sa mbili usiku jikoni lazima niandae chakula cha mheshimiwa mume wangu!
 
nilikuwa najiuliza kwa nini C6 ana nyumba ndogo zote zile ilhali mkewe ni mzuri vile? Leo ndo nimegundua kasoro yako[/QUOTE
thubuuuituuuuu.... hapa kafika na hawezi toka kisa chakula... chakula hata kwao kipo ila ndude tu ndo haipo baba!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Baba V hahahha awewe mimi sina nyumba ndogo

nashangaa my hezbend... anakuonea gere... hivi msosi si hata mama C6 huwa anakupikia?????
kwa shughuli ni moja tuuuu.... ndo maana nakupenda Mwaaaaaaaahhhhhh
 
Last edited by a moderator:
nani anapika....h/girl wa nini.....?...nipishe huko.....
kwangu sitaki h/girl yeuwiiiiiiii nitauaaaaaaaaa mm siwataki kabisaaaa...mungu epushia mbali huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…