Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,840
Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la..

Nani kakwambia anashida na hiyo digilii yako? Andika ngojera zako zoote hapo ila mwisho andika kwamba wewe ni chogo ama flat screen kwisha..

Enewey mwenye mia nane anitumie nipate kisungula.
 
Ukikua utaacha utoto 🚮
Nina zaidi ya miaka thelathini sasa unata nikue vipi?
downloadfile-181.jpg
 
Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la..

Nani kakwambia anashida na hiyo digilii yako? Andika ngojera zako zoote hapo ila mwisho andika kwamba wewe ni chogo ama flat screen kwisha..

Enewey mwenye mia nane anitumie nipate kisungula.
Kwa watu wenye fikra kama zako sidhani kama ccm itaondoka madarakani
 
Back
Top Bottom