Wadada mna nini na magari?

Wadada mna nini na magari?

Hofu yangu kwa mtoa mada ni vile alishuka kituo Africa Sana, kile kituo kile usikute mwenzio ndo alikuwa anaingia kazini pale.... AMBIANCE😉😉
Mkuu hata mimi nilihisi hivyo, lkn baadae nkajiuliza km muuzaje kwanini anikimbie? Na nilimpeka hadi kwao, kumbe kituo chake ilkua ashuke mori.
 
Mi mwanzo niliwafurahia lkn nikaja kushtuka ni rahisi kuwapata lkn huwezi kuwagegeda bure, hata kama hakupigi mizinga mkubwa, kuna gharama za mafuta kumtoa kwao na kumrudisha, gesti nk.
Hizo ni gharama ndogo ukilinganisha mtu asie na gari. Mfano ukiwa huna gari hata kumtoa dem unajiuliza unaanza kuvizia bajaji za bei rahisi maana tax kama mnaenda mtoko lazma kama elfu 40 ikutoke kama sio 20. Bado unafkiria dreva bajaji mara akamatwe mshuke mtafute ingine mara mfike mnanuka petroli alafu ukiwa huna gari mwanamke hawi huru kuvaa vijinguo vyao vyakutia ashki ila ukiwa na gari yani unaweza mfata mtoto ukakuta kakuvalia kishetani mpaka route inabadilika mnaanzia kwanza hotelini. Yanikama ni nyumba itakuja tu ila gari kwa maisha ya sasa ni muhimu sana .

KUNUNUA GARI UKIWA MZEE HAINA TOFAUTI NA KUSEMA UTAKULA NYAMA BAADA YA KUTEGUKA TAYA NI NGUMU SANAA HATA HIYO NYAMA HAUTAPATA LADHA YAKE
 
Saikologia ya kawaida kabisa ya wanawake wakiona una usafiri

Wana assume unakipato kizuri kuweza kumrahisishia baadhi ya mambo yake

Kutaka kurahisisha maisha hasa swala la usafiri

Proudness kwa marafiki wanaomzunguka

Peergroup effect zinazomfanya nae atafute mtu wa hadhi za marafiki zake

Hizi ni baadhi tu kuna mengi sana wanataka kupiti huo usafiri.
 
Hizo ni gharama ndogo ukilinganisha mtu asie na gari. Mfano ukiwa huna gari hata kumtoa dem unajiuliza unaanza kuvizia bajaji za bei rahisi maana tax kama mnaenda mtoko lazma kama elfu 40 ikutoke kama sio 20. Bado unafkiria dreva bajaji mara akamatwe mshuke mtafute ingine mara mfike mnanuka petroli alafu ukiwa huna gari mwanamke hawi huru kuvaa vijinguo vyao vyakutia ashki ila ukiwa na gari yani unaweza mfata mtoto ukakuta kakuvalia kishetani mpaka route inabadilika mnaanzia kwanza hotelini. Yanikama ni nyumba itakuja tu ila gari kwa maisha ya sasa ni muhimu sana .

KUNUNUA GARI UKIWA MZEE HAINA TOFAUTI NA KUSEMA UTAKULA NYAMA BAADA YA KUTEGUKA TAYA NI NGUMU SANAA HATA HIYO NYAMA HAUTAPATA LADHA YAKE
Ujue mkuu kipindi sina gari nikiwaza gharama za kumpata mwanamke nimtakae nakua mpole, lkn baada ya kua na gari unaona gharama kama zinapungua lkn unasahau kwa wiki unawamudu hata wa2 wakati kabla ulimudu mmoja tuu tena kwa miezi na miezi, nimeshapitia haya mkuu nimeyaona.
 
Kipindi sina gari nilikua nawapata wanafunzi na waschana wa level za kati mixer wafanyakazi wanaoanza kazi maofisini mnajenga mazoea mnajikuta mmekanyagana. Sasaivi nina GAREEE SIO GARI GAREEE. Nawachapa mpaka walionizidi na umri wakikaa kwenye bmw hawaruki yani ukimpakia mwanachuo ndo anaweza akajiharia kabisa mule ndani
 
Ni ulimbukeni wa wadada. Siku zote kile usichokuwa nacho ndicho unachokitamani. Wadada wengi familia zao ni hoe hae, unaweza kukuta baba yake hata baiskeli hana, kwahiyo akiona unamiliki gari lazima akupapatikie hata kama ni gari la mkopo yy ataamini fedha kwako zimelala. Binafsi mwanaume mwenye gari hanibabaishi, ila yule mwenye vigezo navyohitaji haki ya nani wallah silali kwa ajili yake.
Haya maneno yako unayoandika mitandaoni ni njia tu ya kujiliwaza.....Nyie ndio ambao mnaishia kutongozwa na waendesha bodaboda huko mitaani....Sasa kwa kuwa hufatwi na wenye magari basi ndio maana unabakia kusema "Eti sibabaishwi"!

Kwa taarifa yako wanaume tulio na magari hatutongozi kila demu. Kuna madem wenye quality ya kupandishwa kwenye magari huku wakipata full AC na kuna nyie wengine hadhi zenu ni bodaboda tu.
 
kuna sumaku kubwa sana ambayo wanasayansi hawajaijua kati ya gari na papuchi
 
Sasa utabebaje mwanaume asiye na gari, maana tunajua ukiwa na gari ina maana mambo yako poa.
Wengine magari ya kuazima.Wanapigia round wanarudisha hivo unaweza hadaika mwisho wa siku ujute kumbe hata baiskeli hamiliki
 
Mwanamme mjanja anajenga kama uwezo anao,Hakuna baba mwenye gari kuna Baba mwenye Nyumba,panda Daladala
lakini sio mpangaji kuliko kua na Gari umepanga au unakaa Kwenu..
Haya mawazo ya watu wa kijijini na bila shaka ndipo ulipokulia huko.

Wewe hapo ulipo una nini!? Msipende kupangia watu maendeleo. Mtu ametafuta pesa kwa kadri anavyojua yeye halafu kwenye kupanga maendeleo ndio kinakuja kijitu na kusema, "Jenga kwanza".

Wewe kama unaamini gari sio dili basi elewa kuwa wenyw magari ndio hao hao wenye nyumba....kama nimeweza kununua gari basi pia nitaweza kujenga na kadhalika na kadhalika.

Huu utoto wa Nyumba kwanza kisha gari baadae mara nyingi unazungumzwa na watu hoe hahe ambao hawana mbele wala nyuma. Mimi nimesoma zangu na kazi nzuri nianze kupanda daladala ili iweje sasa!? Si upuuzi huo.....Yani sifiki mahali ninapotaka bila kupitishwa kwenye kila kituo!?
 
We unapenda kupigwa vumbi? Unapenda kupigwa jua? Kama hupendi jua na sie hatupendi
bora uwe wazi kabisaaa. hakuna anaependa shida, sema watu huwa wanajifariji tu eti gari ya kazi gani? nataka nijenge kwanza nyoooo sema tu huna hela ya mkupuo kununua gari.

nyumba unajenga taratibu hata miaka mitatu lkn gari ni kitu cha siku moja unafunguka pesa yako kuanzia milion 8 kwenda mbele.
 
Dah! Wakiona hivi basi balaa tupu, unaeza filisika eti!!
mtuwache magari yalishakuwa fashion mm sikumbuki mwisho kutongozwa na mwanaume ambae Hana gari ni lini? sikumbuki kabisaa,

wakati nimemaliza form6 bado mdogo sana mwanaume kwa kwanza kunitongoza alikuwa na ndinga hatari wakati huo sijui mwanaume ni nn tofauti na kuona amevaa suruali

watu wengine ni nature binafis siwezi mpenda under 30 boys so watu ninaokutana nao wote wanaa maisha yao.sasa mnashangaa nn?
 
Wafanye kazi wanunue ya Kwao maisha ya sasa sio ya kutegmea mwanaume
1471164179420.jpg
 
Haya mawazo ya watu wa kijijini na bila shaka ndipo ulipokulia huko.

Wewe hapo ulipo una nini!? Msipende kupangia watu maendeleo. Mtu ametafuta pesa kwa kadri anavyojua yeye halafu kwenye kupanga maendeleo ndio kinakuja kijitu na kusema, "Jenga kwanza".

Wewe kama unaamini gari sio dili basi elewa kuwa wenyw magari ndio hao hao wenye nyumba....kama nimeweza kununua gari basi pia nitaweza kujenga na kadhalika na kadhalika.

Huu utoto wa Nyumba kwanza kisha gari baadae mara nyingi unazungumzwa na watu hoe hahe ambao hawana mbele wala nyuma. Mimi nimesoma zangu na kazi nzuri nianze kupanda daladala ili iweje sasa!? Si upuuzi huo.....Yani sifiki mahali ninapotaka bila kupitishwa kwenye kila kituo!?
Inaelekea imekukita,samahani sana sikua na nia mbaya zaidi ya kuleweshana,na nilicho kiongea kua nyumba kwanza ni kila mtu ana mamuzi yake sijakupangia ufanye nini wala ununue,na kuniuliza mimi nna nini I wish ningekueleza kwa umri nilio
nao na mpaka sasa nna mimi lakini una seem to upset na vitu vidogo sana, mawazo yangu ya watu wa vijijini kweli ndio nilipo kulia na mpaka sasa nipo huku huku kijiji lakini nalala KWANGU na nafsi yangu imepoaaaaaa..
 
Yani huyo mtu mzuri sana, wabongo mmezoea unafiki kitu ambacho sio kizuri hata kdg. Huyo anataka gari lako na amekua wazi, shida i wapi mpk uje kuuliza huku?
 
Mengine ni ya mkopo dadangu usiamini kila ukionacho.Hivi hii ina apply hata kwasisi wamiliki wa usafiri wa umma (daladala)ama ni kwa private car tu?
Hata kukopesheka nako ni kipimo cha mtu kuwa na uwezo kifedha. Mwenye kipato kidogo hawezi kupeshwa hela nyingi za kununua gari. Hakuna tajiri asiyekopa
 
Back
Top Bottom