Wadada mna nini na magari?

Wadada mna nini na magari?

Na hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......

Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......
Sawa mkuu, lakini siyo wote wapo kama unavyodhani, katika maisha kila Mtu anahitaji Gari na huo ndiyo ukwel, bila kujali ataitumiaje?, hapo sasa ni maamuzi ya mwenye Gari, kwa mfano kuna mwingine ananunua kwa matumizi ya kumrahisishia katika inshu zake, lakini hapo hapo Wanawake wanajigonga kinoma, na kama mjuavyo Wanawake wengine mapozi hiyo sasa ndiyo kama kivutio chao, na kiukweli Mwanaume rijali hiyo ndiyo fursa ya kuwanasa, kwa hiyo inakuwa Jiwe moja linauwa Ndege wawili
 
Mwanamme mjanja anajenga kama uwezo anao,Hakuna baba mwenye gari kuna Baba mwenye Nyumba,panda Daladala
lakini sio mpangaji kuliko kua na Gari umepanga au unakaa Kwenu..
Sawaa mamy, ila usisahau kila mtu ana kipaumbele chake, kuna wengine mavazi, samani za ndani, kinywaji, kula vizuri, wanawake nk.
Nyumba ujanja,
Gari heshima,
Lakini sasa mbona nyie mwapenda magari na sio nyumba?
 
Naona watu wanakuja PM jaman musije kunipeleka TRA waje kunipekua kujua income Yangu hyo Lambhorgini sio yangu me nimenogesha Thread aiseee bado cjafika huko ndo kwanza npo na Mark X
Hahaaaaa, wamekujaaa
 
Sasa utabebaje mwanaume asiye na gari, maana tunajua ukiwa na gari ina maana mambo yako poa.

Mengine ni ya mkopo dadangu usiamini kila ukionacho.Hivi hii ina apply hata kwasisi wamiliki wa usafiri wa umma (daladala)ama ni kwa private car tu?
 
Kati ya waliozungumza wewe UMENENA kaka!!!Ushauri wako ni muhimu
Ushauri mzuri, lakini kila mtu ana kipaumbele chake kwenye maisha,
Unafikiri nini kingetokea kama kila mtu angewaza kujenga tuu.
 
Mengine ni ya mkopo dadangu usiamini kila ukionacho.Hivi hii ina apply hata kwasisi wamiliki wa usafiri wa umma (daladala)ama ni kwa private car tu?
Mengine wana azima kampuni za Car hire tena siku hizi kampuni kibao hela Yangu Tu siku nikitaka Discovery 4 nalipia nakuja nalo kukuchukua mark X naipaki Home
 
Sasa utabebaje mwanaume asiye na gari, maana tunajua ukiwa na gari ina maana mambo yako poa.
Umenena kweli, gari pia ni kielelezo cha maisha ya mtu yapoje, maana kuja kujua mtu ana nyumba utasota sana.
 
Sawaa mamy, ila usisahau kila mtu ana kipaumbele chake, kuna wengine mavazi, samani za ndani, kinywaji, kula vizuri, wanawake nk.
Nyumba ujanja,
Gari heshima,
Lakini sasa mbona nyie mwapenda magari na sio nyumba?
Hao wanaitegemea vya wanaume Mkuu sio mie,kwanza mali ya mwanamme wala sihesabu kama yangu,mie nafanya kazi nnavyangu vya Mume akinipa sawa asinipe sawa na wala simuombi sema Alhamdulillah sio mwanamme anaefanya jambo bila kuniambia,mie naweza nikamficha lakini yeye mpaka sasa sijaona kitu alichonunua akaficha..
 
We baki na milioni yako mfukoni huku ikitembea kwa miguu, na mwenzako hana hata mbuni mfukoni lakini anaendesha.... Imekula kwako.... Hela utabaki nazo mfukoni... Mwenzio wa gari anang'oa...
 
Na hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......

Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......
Hahaha mpwaaa, eti siku tukianza kupenda wanaume wenye makalio makubwa teh
 
Sawa mkuu, lakini siyo wote wapo kama unavyodhani, katika maisha kila Mtu anahitaji Gari na huo ndiyo ukwel, bila kujali ataitumiaje?, hapo sasa ni maamuzi ya mwenye Gari, kwa mfano kuna mwingine ananunua kwa matumizi ya kumrahisishia katika inshu zake, lakini hapo hapo Wanawake wanajigonga kinoma, na kama mjuavyo Wanawake wengine mapozi hiyo sasa ndiyo kama kivutio chao, na kiukweli Mwanaume rijali hiyo ndiyo fursa ya kuwanasa, kwa hiyo inakuwa Jiwe moja linauwa Ndege wawili

Mimi nimewalenga wale wanaojinyima na kuacha kufanya mambo ya msingi kwa ajili kujipatia magari....dhumuni kubwa likiwa ni kupata urahisi wa kuwafunua nguo mabinti wenye akili finyu za kuzani kuwa kuwa na gari ndio uanamume....
 
Mengine ni ya mkopo dadangu usiamini kila ukionacho.Hivi hii ina apply hata kwasisi wamiliki wa usafiri wa umma (daladala)ama ni kwa private car tu?
Ngoja waje watakujibu mkuu
 
Back
Top Bottom