MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Kati ya waliozungumza wewe UMENENA kaka!!!Ushauri wako ni muhimuNa hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......
Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......