Wadada mna nini na magari?

Wadada mna nini na magari?

Sawa mkuu, ila kama umesoma post yangu vizuri utanielewa kua sikununua gari kwa sababu ya kupata wanawake bali tangu utotoni nilitamani kumiliki gari na ndicho kilichotokea kwangu,

Ila nikiri gari ni hatari sana kwa maendeleo ya kimaisha kiujumla, mwanzo nilihisi napendwa mimi lakini nikaja kushtuka kumbe lapendwa gari, maana kila mwanamke unaevutiwa nae hakupi shida.
Sa hivi "ngashtuka" siwaendekezi tena,

Basi kijana wacha mara moja hiyo tabia.....maana itakuletea majuto....
 
WaTz Wengi Tuna Story Za Kufanya Iwe Movie Nzurii Tuu Na Ikauzika... Tatizo Sijui Nini
 
Hao wanaitegemea vya wanaume Mkuu sio mie,kwanza mali ya mwanamme wala sihesabu kama yangu,mie nafanya kazi nnavyangu vya Mume akinipa sawa asinipe sawa na wala simuombi sema Alhamdulillah sio mwanamme anaefanya jambo bila kuniambia,mie naweza nikamficha lakini yeye mpaka sasa sijaona kitu alichonunua akaficha..
Yaani wanawake mna ubinafsi sana kwa kweli, na nyie ndio mnaponza wenzenu.
Wee tayari unajiweza, lakini najua huwezi olewa na mwanaume ambae maisha yake bado ya kuunga unga.
 
Mwanamme mjanja anajenga kama uwezo anao,Hakuna baba mwenye gari kuna Baba mwenye Nyumba,panda Daladala
lakini sio mpangaji kuliko kua na Gari umepanga au unakaa Kwenu..
Sijawahi kuona mtu amekosa sehemu ya kulala lkn nimeshaona mtu anayetembea kwa miguu,jua Lake mvua yake.
 
We baki na milioni yako mfukoni huku ikitembea kwa miguu, na mwenzako hana hata mbuni mfukoni lakini anaendesha.... Imekula kwako.... Hela utabaki nazo mfukoni... Mwenzio wa gari anang'oa...
 
mwanamke upenda rahaa sana wala si mvumilivu na kupenda muonekano kwa wenzake yukoje.
 
Basi kijana wacha mara moja hiyo tabia.....maana itakuletea majuto....
Nshaacha siku nyingi mkuu, yaani gari hadi naiogopa naitumia nikiwa natoka na familia au naenda sehemu muhimu ya mbali, maana ilinifanya kua mdhaifu kwa hawa viumbe kwa kiasi flani.
 
Anaweza kuwa na uchumi ila vigezo hana, ni bora akawa na vigezo ili uchumi muutafute pamoja. Najua wengi hawakubaliani na hili, ila binafsi ndo kipaumbele changu. Nahitaji furaha ya moyo wangu na si kufurahisha macho ya watu.
Ni kweli usemalo, ila wakati mwingine hautekelezeki, umri unaenda mwenye vigezo hana future yoyote yupoyupo tuu,
Uje kuolewa na mwanaume mwenye 35years hata kodi kwake shida useme mtatafuta wote?
Alkua wapi miaka yote hadi aje akusubiri wewe msaidiane?
 
Tangu nimekopa gari ni mezi minne sasa na ni mwanamke wa 42 naenda kumgegeda leo
Hahaaaa, angalia mkuu kigegedeo kisiishe hapo kikabakia ka cha mtoto!
 
Hahaaaa, angalia mkuu kigegedeo kisiishe hapo kikabakia ka cha mtoto!
Mkuuu yani nawachapa mpaka raha. Yani unapiga mpaka wenye pete zao wewe nikuvuruga tu. Kuna kipindi wanakuja mpaka unaona watakuua.
 
Na hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......

Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......
Tatizo lako unaongea kutokana na experience na kwa vijana wa kileo wanaona unaota ndoto za alinacha. Hata wewe wakati wako mawazo yalikuwa kama wao na mzazi wako akikukanya (kwenda kinyume na matamanio yako) unamuona nuksi. Mbwa asipoungua Mkia hatoki katika moto, tuwawache wakiungua watagundua aidha wakikua watajua kuwa K is constant kikubwa maji ya uhai yatoke mwilini.
 
Mkuuu yani nawachapa mpaka raha. Yani unapiga mpaka wenye pete zao wewe nikuvuruga tu. Kuna kipindi wanakuja mpaka unaona watakuua.
Mi mwanzo niliwafurahia lkn nikaja kushtuka ni rahisi kuwapata lkn huwezi kuwagegeda bure, hata kama hakupigi mizinga mkubwa, kuna gharama za mafuta kumtoa kwao na kumrudisha, gesti nk.
 
Ni ulimbukeni wa wadada. Siku zote kile usichokuwa nacho ndicho unachokitamani. Wadada wengi familia zao ni hoe hae, unaweza kukuta baba yake hata baiskeli hana, kwahiyo akiona unamiliki gari lazima akupapatikie hata kama ni gari la mkopo yy ataamini fedha kwako zimelala. Binafsi mwanaume mwenye gari hanibabaishi, ila yule mwenye vigezo navyohitaji haki ya nani wallah silali kwa ajili yake.
Mkuu umekosea, kwan kuna familia zimepangiwa kuwa na watoto wa kike tu, sema familia nyingi za kitz au africa ni maskin wala sio familia za akina dada.
 
Back
Top Bottom