Kwa hiyo wakaka kwao ndo wana hela?Ni ulimbukeni wa wadada. Siku zote kile usichokuwa nacho ndicho unachokitamani. Wadada wengi familia zao ni hoe hae, unaweza kukuta baba yake hata baiskeli hana, kwahiyo akiona unamiliki gari lazima akupapatikie hata kama ni gari la mkopo yy ataamini fedha kwako zimelala. Binafsi mwanaume mwenye gari hanibabaishi, ila yule mwenye vigezo navyohitaji haki ya nani wallah silali kwa ajili yake.
We binti nimeku miss..naomba nikuletee zawadi ya viatu.Hongera kwa kuwa na gari
Mimi nina gari dearSasa utabebaje mwanaume asiye na gari, maana tunajua ukiwa na gari ina maana mambo yako poa.
Hiyo ulonogeshea thread sasa ndio gari, mengi hapa mjini ni usafiri tu.Naona watu wanakuja PM jaman musije kunipeleka TRA waje kunipekua kujua income Yangu hyo Lambhorgini sio yangu me nimenogesha Thread aiseee bado cjafika huko ndo kwanza npo na Mark X
CBE na TPSC, muda wa kutoka!Ukiwa na gari upite wapi ili uwapate kirahisi hahahaha au hostels?
Ni kutaka kujua zaidi tuu mkuu kama kweli kua na gari kunaongeza point ya kukubaliwa na wanawake au ni ulimbukeni wangu na gari langu.Yani huyo mtu mzuri sana, wabongo mmezoea unafiki kitu ambacho sio kizuri hata kdg. Huyo anataka gari lako na amekua wazi, shida i wapi mpk uje kuuliza huku?
Yaa ni Kweli kuna tofaut sana kuendesha Italian car na Japanese CarHiyo ulonogeshea thread sasa ndio gari, mengi hapa mjini ni usafiri tu.
Wamezungumziwa wanawake, laiti wangezungumzia wanaume tungeshusha mistari kuwahusu, maana hao ni kaka zetu tutokako ndiko watokako iwe ktk familia masikini au tajiri.Kwa hiyo wakaka kwao ndo wana hela?
Salutii kwako mkuuuMwanamme mjanja anajenga kama uwezo anao,Hakuna baba mwenye gari kuna Baba mwenye Nyumba,panda Daladala
lakini sio mpangaji kuliko kua na Gari umepanga au unakaa Kwenu..
Nawe pole kwa kutokuwa na gariHongera kwa kuwa na gari
Asante sanaNawe pole kwa kutokuwa na gari
Mkuu barikiwa kwa ushauri mzuriNa hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......
Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......
Sawa Mkuu....!!!Komaa tuu mkuu, ukipata kaela nishtue nikupeleke chimbo ukanunue