wadada mmezidi sasa, khaa!

wadada mmezidi sasa, khaa!

Nyamaza acha kulia mtoa mada..hujui kama papuchi siku hizi biashara?
Halafu hao wqkuwaombeni hela huwa mnawatoa wapi?😕
Katika harakati zangu zote sijawahi kumpata demu wa mizinga.

"Nlikuwepo":bolt:
 
hujui ijumaa ijayo ni siku gani....

Teheee watalalamika sana maana kwa wengine watatumika double... ijumaa ni siku ya official wife na jumamosi itabidi ampooze kidumu kwa kuwa jana alishikwa na wife halafu "simu iliisha chaji"! Or vice versa
 
babuu!umelamba garasa hapo hutakiwi anakukimbiza kijanja jiongeze best angu poole.
 
Hivi hapo kwenye hayo maneno niliyoyakoleza umemaanisha nini?

Na wanawake wa hivyo huwa mnawatoa wapi nyie? Mbona sisi wengine huwa hatukutani nao hao wa hivyo?

What is it with us? Do we exude a no nonsense persona or what?

Hawana cha kujadili wanataka waonekane na wao wamo, wanaandika uongo mtupu.
 
Wakati mwingine si kila anayekuomba hela anamaanisha, wengine ni njia ya kukukimbiza pengine hukufikia vigezo vyake.

Hahahaha.....ndiyo maana hata ki date cha kwanza alikwenda na rafiki yake!
 
Mbona thread za wakaka kulalamika leo zimekuwa nyingi

Hali ngumu ya uchumi dada. Maana tunalalamikia hela tu huku tunataka tunapowatongoza tuwakute mko beautiful nadhifu nguo ya maana, mmeoga mnanukia kaharufu kazuri, nywele zimesukwa vizuri na make- up iko bomba cheni .nzuri hereni,nk, sasa sijui kwa gharama ya nani?
 
Kwanini isipigwe mswaki ikaendelea kutumika hiyohiyo? Kwani kutumbukia kwenye maji ndio haitengenezeki? Nyambafu jizi hilo. Akamwambie alompa yamwanzo. Kwani ww mkorea?
 
Kwanini isipigwe mswaki ikaendelea kutumika hiyohiyo? Kwani kutumbukia kwenye maji ndio haitengenezeki? Nyambafu jizi hilo. Akamwambie alompa yamwanzo. Kwani ww mkorea?

ndo nashangaa kiongozi ikiingia maji simu inatengenezeka huyo ni changudoa kabisaa
 
Hajui hata kudanganya...IQ ndogo.
Huyo afai na itakukost karibia laki 3-5 mpaka kugegeda....sasa kama investment unayo haya invest.
Hiyo inaitwa economy of sex.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula aafu tukaagana. mkononi alikuwa na simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hivyo nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na so kwa ajili deny! na wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane taratibu jamani, looh!

hahahaaaa! Umenikumbusha dem mmojja mkenya akajifanya amenipenda kwa moyo wote kumbe alitaka kunpiga kizinga cha milion moja anataka akarabat gari yake. Ikanibidi nimwoneshe jins wanaume wa kitz tunavyojinasua kilain
 
kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula aafu tukaagana. mkononi alikuwa na simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hivyo nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na so kwa ajili deny! na wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane taratibu jamani, looh!
Hii stori umepika omba msamaha kwa jf fasta au nikuumbue sasa hivi kwa kuwa nakufahamu nje ndani.
 
Hii stori umepika omba msamaha kwa jf fasta au nikuumbue sasa hivi kwa kuwa nakufahamu nje ndani.

ha,ha. mkuu we niumbue tu lakini mie nimeeleza niliyokutana nayo. mpaka sasa natumiwa msg za kukumbushiwa ombi
 
Back
Top Bottom