wadada mmezidi sasa, khaa!

wadada mmezidi sasa, khaa!

kaka / dada nyani ngabu hayo ni mambo ya smart phone, kama ukiandika ukawa hujarudia kusoma usahihishe utajikuta unatoa neno ambalo halistahili hapo, hivyo msamehe tu
 
Mbona thread za wakaka kulalamika leo zimekuwa nyingi

Shebeneza is back in action,nilitupwa lupango kwa mwezi mzima kwa kuleta hate posts against women mwezi jana,leo ndo nimeachiwa huru na leo hii hii mapost ya macharii kulalamika ni mengi balaa,so,mzimu wa shebeneza ni balaa!
 
Wakati mwingine si kila anayekuomba hela anamaanisha, wengine ni njia ya kukukimbiza pengine hukufikia vigezo vyake.
 
shebeneza...ndio leo najua kuna memba anaitwa shebeneza..........

huo mzimu wako kwanini usingekusaidia kutopata ban
 
Wakati mwingine si kila anayekuomba hela anamaanisha, wengine ni njia ya kukukimbiza pengine hukufikia vigezo vyake.

tena alinitafuta mwenyewe, aliniomba namba yangu na kuanza kunitega kwa sms na call za usiku mnene
 
Na nyie wakaka mmezidi kulialia

Msome alama za nyakati

Saa zingine mwanamke akiwa anakupiga mizinga mikubwa maana yake hakutaki anakutafutia sababu, au hamjui akufukuzae hakwambii toka???
 
Sasa hapo una shangaa nini?
Kama huna uwezo muweke wazi acha kulalamika alaf baadae una kwenda kutoa huku una umia.
 
Na nyie wakaka mmezidi kulialia

Msome alama za nyakati

Saa zingine mwanamke akiwa anakupiga mizinga mikubwa maana yake hakutaki anakutafutia sababu, au hamjui akufukuzae hakwambii toka???

Mwingine mashauz yake yanamfanya apigwe kizinga cha ukweli
 
Back
Top Bottom