Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Mbona thread za wakaka kulalamika leo zimekuwa nyingi
shida na matatizo yamewajaa! mambo yao yangekuwa safi wasingelialia.!!! mie naona strategy yetu ya kuwakimbiza kwa vibomu imefaulu. wanatoka nduki wenyewe mpaka wanataka kujikwaa.