wadada mmezidi sasa, khaa!

wadada mmezidi sasa, khaa!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,989
Reaction score
5,066
kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula aafu tukaagana. mkononi alikuwa na simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hivyo nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na so kwa ajili deny! na wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane taratibu jamani, looh!
 
kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa name kula aafu tukaagana. mkononi alikuwa name simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hi yo nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na so kwa ajili yenu! name wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane taratibu jamani, looh!

Hivi hapo kwenye hayo maneno niliyoyakoleza umemaanisha nini?

Na wanawake wa hivyo huwa mnawatoa wapi nyie? Mbona sisi wengine huwa hatukutani nao hao wa hivyo?

What is it with us? Do we exude a no nonsense persona or what?
 
ukome kutongoza tonggoza a bado ujamwambia atoke out akakwambia hela ya saluni na ya kununua nguo na kiatu,.... mpe hela ya simu bwna ndo nini
 
Hivi hapo kwenye hayo maneno niliyoyakoleza umemaanisha nini?

Na wanawake wa hivyo huwa mnawatoa wapi nyie? Mbona sisi wengine huwa hatukutani nao hao wa hivyo?

What is it with us? Do we exude a no nonsense persona or what?

Umenisaidia,nilitaka niulize hayo hayo.
 
pole sana,huyo ni jambazi tena linaiba mchana kweupeeeee,,get rid of her fasta litakuuwa anytime
 
Simu imetumbukia kwenye maji afu inaita? hahahaaa.... Labda alitaka kukuibia au alitaka kukufukuza tu (ujiondokee mwenyewe).

Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine.
 
Mbona thread za wakaka kulalamika leo zimekuwa nyingi
ujue ni dalili kuwa hali imekua tight...sasa nashindwa kuelewa kwanini usichukue chips funga with no string attached kama ni lazima uwe na mwanamke.
 
Hivi hapo kwenye hayo maneno niliyoyakoleza umemaanisha nini?

Na wanawake wa hivyo huwa mnawatoa wapi nyie? Mbona sisi wengine huwa hatukutani nao hao wa hivyo?

What is it with us? Do we exude a no nonsense persona or what?

mkuu natumia mchina, kuna maneno yanajiedit yenyewe hivyo kuwa tofauti na nilichokusudia
 
ujue ni dalili kuwa hali imekua tight...sasa nashindwa kuelewa kwanini usichukue chips funga with no string attached kama ni lazima uwe na mwanamke.

we umewahigi kuchukua hao chips funga!!!!!!!!!!!

na sio wanawake wote wako type ya mtoa thread wengine kuomba pesa hawajui,vibom kupiga ndio kabisaaaaaaa
 
Simu imetumbukia kwenye maji afu inaita? hahahaaa.... Labda alitaka kukuibia au alitaka kukufukuza tu (ujiondokee mwenyewe).

eti inaita ila hawezi kupokea.
 
kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa name kula aafu tukaagana. mkononi alikuwa name simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hi yo nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na so kwa ajili yenu! name wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane taratibu jamani, looh!

Kizinga cha kuchangamsha damu
 
Back
Top Bottom