Wadada mmeacha Kuvaa magagulo

Wadada mmeacha Kuvaa magagulo

fredito13

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
213
Reaction score
146
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri!

Siku hizi sioni andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa!

Kulikoniiiii?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hata ile Jeki ya kupandisha Maziwa nayo siku hizi imepitwa na wakati!
 
Mpwa hii research umeifanyia wapi ukajua hilo? mmmmh haya inawezekana ikawa na ukweli
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

joto limezidi so tumeacha kuvaa tunataka hewa.

kwanza umejuaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom