wadada mkoje nyie? Mbona mnashindwa kujiamini

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Kila story
ukisimulia eti "ilimkuta
rafiki yangu", ukitoa mfano
"rafiki yangu", ukiomba
ushauri, unajifanya
unamuombea shost ako,,
ebu kuwen smart na
mjiamini, hivi hakuna
yanayowakuta wenyewe?
Kila m2 "kuna rafiki yangu
alifanya hivi na vile" wewe
je?
 
Kila story
ukisimulia eti "ilimkuta
rafiki yangu", ukitoa mfano
"rafiki yangu", ukiomba
ushauri, unajifanya
unamuombea shost ako,,
ebu kuwen smart na
mjiamini, hivi hakuna
yanayowakuta wenyewe?
Kila m2 "kuna rafiki yangu
alifanya hivi na vile" wewe
je?

Kwa hili nitawatetea, kuna baadhi yetu humu badala ya kujadili jambo lililowekwa mbele yetu na mdada au kutoa ushauri, tunamjadili mtoa mada na kumdhalilisha wakati mwingine. Hii haiwezi kumfurahisha yeyote.........kwa hiyo kutumia third part wakati mwingine ni njia maridhawa katika kupata ushauri mzuri na wenye mantiki.
 
Mie yangu huwa naweka hadharan yanapokunikuta na nashindwa kuyamudu,ila yale yaliyondan ya uwezo wangu au natumia watu wa karibu yangu namaliza tu na maisha yanaendelea!cjui kwa wengine vp ila naamin ili watu wakuelewe na kupata ushauri mzuri ni kuwa wazi bila kutumia nafsi ya mtu mwingine!
 
inawezekana ni kweli tunajificha nyuma ya third party lakini haimaanishi kuwa kila story inayomuelezea third party inamuhusu mtoa mada.sio kila mzungu padri
 
Wanawake wana siri nyingi sana sasa aje akubali kuitoa na kujisema mwenyewe mhh!binafsi kuna mambo huwa siwaelewi walivyoumbwa...ngoja tuwaache wenyewe labda waseme sasa
 
toka JF mlivyoanza kutembeleana na kufahamiana, utamu na uzuri wa hoja zake ulikomea hapo. Kuoneana aya na aibu kumetawala sana hapa siku hizi. Nway sisemi kufahamiana ni mbaya, hapana
 
Watu wengine bila kuwananga wanawake nadhani hua mnakosa raha sana. Wanaume wangapi wanakuja na mada za "mshkaji/rafiki yangu kapanda au kashuka" ??? Wao wanajiamini?
 
Wanawake wana siri nyingi sana sasa aje akubali kuitoa na kujisema mwenyewe mhh!binafsi kuna mambo huwa siwaelewi walivyoumbwa...ngoja tuwaache wenyewe labda waseme sasa
 
Mi kuna jambo sijalipenda hapa.Kwanza mtu kutumia nafsi ya tatu kuna ubaya gani?Pili kwani wewe inakuhusu nini?Iwe yeye,mjomba'e,mdogo wake au sijui nani inakuhusu?Toa ushauri kisha uchape lapa au funga mdomo!
 
kwanini udanganye lakini?
 
Watu wengine bila kuwananga wanawake nadhani hua mnakosa raha sana. Wanaume wangapi wanakuja na mada za "mshkaji/rafiki yangu kapanda au kashuka" ??? Wao wanajiamini?

Nashanga!! Kuna watu ni viazi kweli, sijui ndo ugumu wa maisha huo??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom