Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
- Thread starter
-
- #161
Za abunwasiImethibitishwa au ni ndoto zalinacha???
MmmmWe binti tabia mbaya umeanza lini?
We ni mdudu?si bora nije ning'ate mmi tena kidooogooo kwa mbaaaliiii
Hata wakaka walikuwa wanawekaWadada watundu sana
Mwingine flatiHuyu na yuleeee....huyu anapenda makubwa yule madogo daaah
Itakuwa uliweka nyenyereniliwekaga lakini wala haikuleta impact
unataka za uso sasa..
Poa mkuu, kesho tu nakujulisha kama nimewapata nakupa na pichaNitafutie bana
Wengi hawana raha kama hawajaniona, wanashindwa kusema tu.
ndaah nimekumbuka mbali sana aise!!!
Poa mkuu, kesho tu nakujulisha kama nimewapata nakupa na picha
wale wadudu hawapo kila sehemu, wapo kwenye aina fulani ya udongo. na si kweli kwamba wanakuza manyonyo, ila ukimuweka kwenye ngozi wanan'gata kwa mbaaaaali then ile sehem aliyoin'gata inavimba, basi enzi zile za utoto tunamuweka kifuani, pakivimba ndo tunadhani manyonyo yamekuwa, akili ya utoto tu.....
RIP Mr Ebbo, maana ungekuwa hai ungetoa part two ya 'maneno mbofumbofu'
Bado naifanyia kaziUmepata?Picha ya fukufuku tafadhali...
Vipi bro
Kuna wadudu fulani miaka ya nyuma tulikuwa tunawafukuwa ardhini halafu unamweka kwenye chuchu eti manyonyo yakuwe.
Mnawakumbuka?
Walikuwa wanaitwa 'FUKUFUKU'
hivi wanapatikana wapi? white rose