Wadada makazini jamani mtatuvunjia ndoa

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .

Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.

Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.

Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.

Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .

Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengine tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.
 
Ulilikoroga linywe..usimsingize dada wa watu. Unaenda lunch bega kwa bega na mabusu garini ulifikiri nini. Jieleze tu kwa baby mama. Ukweli utakukomboa!
 
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengune tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.
Baba BabyBoy Salama yako "MojakwaMoja kosa likpo kwako" Kwa sababu wewe umejibwaga na umejisalimisha kuwa rahisi sana kiasi Bi officemate wako hakuona redline !! akaweza Cross bila shida...sasa wewe mwenyewe rekebisha mambo kabla masilahi yako kuharibika....... Otherwise long and hard journey ahead. Good luck Mkuu..
 
Pole mkuu,be a man of principle(I am not any way that you are not principled)tengeneza principles zitakazo ongoa interaction yako na huyo mdada ,mengi anayoyafanya ni ambayo umemruhusu kuyafanya na hata kama hujamruhusu kufanya pindi akifanya hauweki stern measures.review mahusiano yako naye mmpe limits na mipaka.
 
Mna fantassy relationship, which qualifies for emotional cheating. Kwani hujawahi kumpeleka seascape? Kwa nini akasema hivyo? Lako hilo. Wala usirelaksi. Kama ana akili kama yangu atakuacha ubweteke ujue yameisha kumbe ana kuobserve. Siku ya kukudaka red handed utajutaje?
 
Ulilikoroga linywe..usimsingize dada wa watu. Unaenda lunch bega kwa bega na mabusu garini ulifikiri nini. Jieleze tu kwa baby mama. Ukweli utakukomboa!

hahahahahaa,,,,nacheka hadi machoz yananitoka,unajua sisi wanaume tunashangaza sana(sometym) sasa huyu bwana mkubwa analalamika nini???maana kwanini hakuchukua pre-cautions,,,pete haizungumz kuwa upo kwenye ndoa au una mchumba,
me nahis jamaa kuna sehem ameskip
 
Pole mkuu,be a man of principle(I am not any way that you are not principled)tengeneza principles zitakazo ongoa interaction yako na huyo mdada ,mengi anayoyafanya ni ambayo umemruhusu kuyafanya na hata kama hujamruhusu kufanya pindi akifanya hauweki stern measures.review mahusiano yako naye mmpe limits na mipaka.
Umemaliza, ahsante kwa kumkumbusha!
 
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengune tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

Maandiko matakatifu yanasema IKIMBIE ZINAA, it is a pity kuwa wewe uliikaribisha. Mabusu tena, shetani alikuzidi nguvu! Bado una nafasi ya kuikimbia.
 
Ulilikoroga linywe..usimsingize dada wa watu. Unaenda lunch bega kwa bega na mabusu garini ulifikiri nini. Jieleze tu kwa baby mama. Ukweli utakukomboa!

MadameX, sio kumsingizia, sema alimkaribisha shetani mwenyewe- Tunaambiwa IKIMBIE ZINAA! yeye aliikaribisha "zinaa".
 
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengune tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

Pole Mkuu ila uliyalea mwenyewe hayo matendo ya huyo dada ungekataa asingekulazimisha. Msalimie Baby Boy na Mama yake.
 
mdau,,,ukicheza na mbwa utaingia nae msikitini,
bandubandu humaliza gogo,,,,
ndondondo si chururu,
mwanamke na mwanaume hamna uhusiano wa kindugu mnabusiana,na anazidi kukita sweet,darling,alaaaaa
 
Mna fantassy relationship, which qualifies for emotional cheating. Kwani hujawahi kumpeleka seascape? Kwa nini akasema hivyo? Lako hilo. Wala usirelaksi. Kama ana akili kama yangu atakuacha ubweteke ujue yameisha kumbe ana kuobserve. Siku ya kukudaka red handed utajutaje?

Heheh besti kunaitwa Escape 1 ni kuleee krb na White Sands...
 
Nimekumbuka msemo...'ukimzoesha mbwa atakufwata mpaka msikitini'.

Sasa na wewe kaka unaona sifa kabisa kujieleza.."kabla ya kwenda nyumbani ananifwata kwenye gari TUNABUSIANA". Je mke angeyaona hayo mabusu ingekuwaje?

Jitoe kwenye mazingira tata, jiweke kwenye viatu vya mkeo..kwamba ingekuwa ni yeye na 'Yahaya' ungemuelewa?
 
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengune tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

Ushauri wa nin wakati ulikuwa unajijua wew ni mume wa mtu then unaendekeza mazoea..Hata aubu huoni kuandika upuuzi na kudai eti mnaagana kwa kukis...hovyo sana wew...
 
Ngoja na mimi nimtumie mkeo ujumbe wa malavi davi...maana huwa akija hapa saluni mimi ndio anapenda kweli nimuoshe miguu na kumkanda kanda...
 
kuna msemo usemao mchawi wa mtu ni yeye mwenyewe, hayo yote yanayotokea ni wewe mwenyewe umeyasababisha, acha shobo broo we ni mme wa mtu sasa, usibehave kama bachela,umeshavuka hiyo phase uko phase nyingine, mpaka mnabusiana acha ujinga na kujiendekeza kijingajinga, lea familia yako komaa na maisha,kampani za kijinga achana nazo, yote umeyasababisha mwenyewe kwa tabia yako ya kujichekesha kwa madem, liooneee bichwa lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom