Wadada makazini jamani mtatuvunjia ndoa

Wadada makazini jamani mtatuvunjia ndoa

Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .

Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.

Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.

Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.

Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .

Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengine tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

mbwa uliemfuga kakuuma!!!!
 
Afu uchelewi kumsingizia shetani.. mi uje kuniambia eti shetani alinipitia mke wangu ni bahati mbaya wallah utatoa mahari mara ya pili tena kwa barua ya posa ukisindikizwa na mshenga wako embu jirekebishe haraka umeniudhi acha tu.
 
Mna fantassy relationship, which qualifies for emotional cheating. Kwani hujawahi kumpeleka seascape? Kwa nini akasema hivyo? Lako hilo. Wala usirelaksi. Kama ana akili kama yangu atakuacha ubweteke ujue yameisha kumbe ana kuobserve. Siku ya kukudaka red handed utajutaje?
Bado ni 'fantassy' pamoja na kuwa wanapeana hadi mibusu kila siku?
 
wee mgegede huyo dada maana kama kuvurunda ulishavurunda....jipigie kwa raha zako
 
Naona karibu kila mchangiaji amempa za uso huyu bwana...
Nadhani mkuu mleta maada utakuwa umejifunza kitu ndo maana huonekani hata kutoa utetezi! Jikumbushe tu kuwa maisha ya u-single ulikana mwenyewe bila shinikizo, huna tena nafasi ya kurukaruka na virukanjia barabarani/ofisini.
 
Kuna vitu umeviruka,kamilisha story tukushauri vizuri
 
Pambaf, kosa la huyo binti liko wapi? Badili title yako ireflect uhalisia wa hadithi yako
 
[/B]

Pita tu Kaizer maana leo naona uko slow,watu wanaagana kwa kisses kwenye gari halafu unauliza hilo swli tena?
Huyu amelikoroga alinywe tu

hahaah Ennie bana......umegundua eeh? hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Moja kwa moja kosa ni la kwako. Mwanamke hamba uhususiano mnafikia kupigana mabusu garini,ha!. Tatizo lipo kwako na wala si kwa huyo officemate kwani yeye alikuona wewe ni fursa!
 
ww nae jamani nikadhani alikutega kumbe mlitegana ss unalalamika nini mazoea hujenga tabia km ulijitambua ww ni mume wa mtu usingeruhusu mazoea hadi yakupigana kiss kwenye gari kwa mtazamo wangu hapa namnukuu Linex"mwanamume mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake yy mwenyewe".
 
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .

Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.

Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.

Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.

Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .

Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengine tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

acha upimbi maji wewe,tatizo ni wewe wala sio huyo dada kwakuwa wewe ndio ulikaribisha hayo yote wakati unajua wewe umeoa alafu unaleta mazoea,kwanza isitoshe umeshamgonga huyo dada ila unazuga tu wacha ufue nepi na vyombo pia uoshe.
 
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .

Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.

Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.

Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.

Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .

Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengine tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

AAA AAAaaaaa Brother hebu kuwa mkweli basi we sema ushapiga mzigo ila hujau mind ! Kuwa mkweli tu sisi wanaume wenzio tutakuelewa tu usijali !!
 
mambo mengine mnayatafuta tu wenyewe. Endelea na kesi zako, jumapili njema
 
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .

Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.

Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.

Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.

Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .

Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengine tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

Hapo ndio ninapowapendea wanawake, kama ushahidi haujitoshelezi anakusamehe chapchap huku anaendelea kukuvizia! Siku akikunasa, cha moto utakiona! Mkuu vunja hayo mahusiano, yatavunja ndoa yako, ukichukulia shem analea kichanga, atahisi ndo maana unasaka mbadala.
 
Ulilikoroga linywe..usimsingize dada wa watu. Unaenda lunch bega kwa bega na mabusu garini ulifikiri nini. Jieleze tu kwa baby mama. Ukweli utakukomboa!
Anapaswa kulaumiwa kwa kila kitu. Kama hana mpango na huyo dada kqa nini aendekeze mabusu na outing za kipuuzi na msg za mapenzi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom