Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 736
Usifanye matani na mademu wao wsko ktk ukweli siku zote
MadameX, sio kumsingizia, sema alimkaribisha shetani mwenyewe- Tunaambiwa IKIMBIE ZINAA! yeye aliikaribisha "zinaa".
Mimi naona shetani wawili @ work...kwanini dada abebe majukumu peke yake
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengune tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

na wewe uwe unaangalia unamzoea nani considering wewe ni mume wa mtu na mazoea yawe na mipakaNaandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .
Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.
Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.
Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.
Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .
Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengune tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.
Mkuu well said !! yes Bi Shinning Star Hongera ...Je vipi vote iliishaje!!Humtendei haki mkeo hizo sweety na mabusu yanini?inaonekana unafurahia siku akikufuma mkeo lazima uingie hasara kumrudisha ndani kama ambavyo ulimuingiza kwa shida.
Acha uzinzi
hapa napita.........how come hujamweleza mipaka ya izo msg na malove davie yake? hivi akikupa utakataa?
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .
Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.
Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.
Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.
Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .
Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengine tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.