Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,066
huyu jamaa kaniangusha sana..uzembe wako unamlaumu dada wa watu
Wakayi unaitwa sweetheart ulikuwa unatabasamu
Mpaka unapewa mabusu unakenua meno tu
Meseji ukituniwa unafuta maana yake unajua unachokifanya sio sahihi
Halafu unalia lia
Hovyooo