Wadada makazini jamani mtatuvunjia ndoa

Wadada makazini jamani mtatuvunjia ndoa

Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .

Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.

Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.

Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.

Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .

Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengine tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

kutokana na maelezo yako hapo juu: wewe ni muoga wa kuchukua maamuzi au wa kusema nini unataka/utaki. Yaani mambo yote hayo aliyokufanyia ulishindwaje kumgegeda/kumwambia kama unandoa na asikuzoee kwa sana? Au alioa ukiwa bikira? Wanaume wengine........kweli!
 
"muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake ......" hivi ni wewe umeandika hapo au umeandikiwa? Hisia zangu zipo hivi umeshagonga huu mzigo ila kwa kuwa unajua waifu wako ameshtukia na ni mwana jf kama wewe unajikosha hapa sababu na yeye atausoma uzi huu ndo akusamehe fully. JIPANGE.
 
Wakati anakubusu kwenye gari ulifurahi. Leo katuma sms ndo atavunja ndoa pole sana..... mazoea kabla hayajaenda mbali lazima uweke mipaka.... pete kidoleni si tija muhimu msimamo wako.... pole sana mkuu
 
yote wameshazungumza. haya umeyataka mwenyewe. lzm uwe na mipaka na ofc mate wako. kazi ni kwako kumpa mipaka oficemate.
 
Ndo maana hata zile hug za kipuuzi huwa siziendekezi. Kuna watu wanahugiana na wanawake au wanaume kazini as if ndo mamsap
 
You are absolutely right. Lakini huyu mwanamume ndiye kalalamika na katoa ukweli kuwa anambusu, bega kwa bega, lunch etc! Tunamhukumu kwa kauli yake. Aliikaribisha zinaa mwenyewe! I never entertain such movies! Vipo sana makazini humu- Wanawake kwa wasichana vituko vitupu! Sijui wewe mrembo, hopefully you are not one of them!

It takes two to tango....silaumu mdada pekee kwenye hili
 
utaruhusuje mwanamke akuzoee kiasi cha kutokujali hata muda upo na familia yako?
 
Mkuu mabusu tena...jaribu kuweka mipaka kwenye huo urafiki wenu kabla mambo hayajaenda mrama.
 
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa hali iliyonitokea ijumaa ya juzi .Kuna mdada kazini kwangu imetokea kuzoeana sana kiasi kwamba lunch huwa tunakwenda pamoja huku tukiwa bega kwa bega .

Tumezoeana sana kwa utani mwingi nwingi mpaka ananiitaga mume wake sweet darling licha ya kuona pete ya ndoa pale kidoleni.Kiukweli msg anazontumiaga huwa ni mbaya sana najitahidi kuzifuta kabla wife hajaziona.

Kipindi cha nyuma muda wa kazi ukiisha huwa anakuja kwenye gari langu tunabusiana kisha kila mmoja anashika njia yake..Sasa juzi usiku tukiwa na wife sebuleni huku nmmshika a new born baby boy wife alikua ameshika simu yangu sasa simu yangu ina mtindo wa msg kujifungua yenyewe nadhan ni settings ikaingia msg toka kwa bi mdada inasema hivi " helo swthrt micn u nipo kwa bed nakuwaza kesho plz twende escape 1 kuna kitu special 4 u.

Kiukweli nilipata wakati mgumu sana kumuelewesha mke wangua jana jumamosi nmeshinda tu home nikifua nepi na kumbadilisha mtoto akijisaidia.

Ingawa kwa macho anaonekana karidhika na utetezi wangu lakini bado namuona ana mashaka .

Jamanu kina dada hata kama ni mazoea muwe munaangalia na muda wa kupiga simu au kutuma msg wengine tunawapenda wake zetu na tumetumia muda mrefu mpaka kuwatia ndani.

Get To Know Himher First Before You Smile Picture by PincheLovelyx33 - Inspiring Photo
 
wenzako wanatunza simu moja ofisini, sms ni kuanzia saa 3 mwisho saa 10, simu kuanzia 2:30 mpaka 9:30. hakuna sms ya mapenzi hata moja, wala asisubutu. umelikoroga hilo, mie nna hq makalio makubwa ikatokea naingia ndani nyumbani bahati mbaya nkajikuta macho yamekolea hapo na waif alikuwa ananiangalia, big soo
 
uzembe wako unamlaumu dada wa watu

Wakayi unaitwa sweetheart ulikuwa unatabasamu

Mpaka unapewa mabusu unakenua meno tu

Meseji ukituniwa unafuta maana yake unajua unachokifanya sio sahihi

Halafu unalia lia

Hovyooo
 
Mmenikumbusha kitu.. ngoja nikifanyie kazi!
 
We mshenzi kweli yani baada ya TXT yako kufumwa na mkeo unakuja ku-justfy ujinga wako hapa...Inaonesha hata kumgegeda huyo binti umeshamgegeda.....Toa ujinga hapa...Hivi inakuaje mtu si mkeo anaandika message za ajabu kiaasi hicho huku wewe ukiendelea kukenua kama mwehu, kama si ulikuwa ukizifurahia....Umekuja kutafuat Sympathy hapa ehh..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom