Wadada kwanini mnapenda kutumia neno 'my'?

Wadada kwanini mnapenda kutumia neno 'my'?

hata mimi huwa naitwa na baadhi ya wadada sijui wana maana gani
 
He he heeeee wenzio huwa wanamaanisha "wangu" ..... usiniulize zaidi lakini ndio katika hali ya kila mtu kuonekana amepitia kiingilish my😉
 
Ukiona unaitwa hvyo jiandae mzinga unafuata, ni kama ile sentence yao baby nikwambie kitu?
 
Ukiambiwa, Sorry my nikuambie kitu...? Zima simu na utoe betri na usiwashe simu mpaka saa 24 zipite.
Hahaha, me huwa nawaambi nipo kwenye rough road ntakuchek baadae, inakua ndo imetoka hiyo.
 
Imekuwa kawaida mabinti kuwaita vijana "MY" wakati wa kuchat, either WhatsApp, Facebook, Sms n.k. Sasa mi najiuliza hii sentesi nusu "My..." maana yake nini?
Ni maneno gani huwa yanaachwa bila kumaliziwa hapo mbele ya "My..."?

Sijui wengine mnajisikiaje kuitwa " My..., ila Binafsi huwa sipendi kabisa kuitwa "My" ovyo ovyo, maana unafanya nijiulize maswali mengi kichwani, My, nani sasa? My husband? My boyfriend? My love? Au my nini? Hili neno liko romantic kidogo hasa linapotamkwa kwa jinsia tofauti! [emoji23][emoji23]

Sasa kwa nini wadada mnapenda kutuita "My..."?

Na kwa nini huwa mnaishia hapo My? Si muwe mnamalizia mfano my friend, au my babe n.k, [emoji1]

Na je wanaume wenzangu mnajisikiaje mnapoitwa na wadada My?
jaman my,tusameheni tumezoea tu kuuta hvy,,, sawa my
 
Ukiliona ilo neno andaa geto vizuri, arafu mwambie aje? Utajua maana yake, sasa hivi ni utandawazi so kila KITU kiko wazi ndugu yangu,
Ushauri, andaa DUME kabisa kabla hajafika Kwa taadhari!!....
 
He he heeeee wenzio huwa wanamaanisha "wangu" ..... usiniulize zaidi lakini ndio katika hali ya kila mtu kuonekana amepitia kiingilish my😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo ni manjonjo kwenye mapenzi mapya,mkishaota sugu kama siye hilo neno huwezi lisikia...
 
Baya lisilokudhuru ni jema lisilokuwa na faida
 
Back
Top Bottom