madongomakavu
Member
- Aug 23, 2012
- 54
- 34
My mai mai zikizidi wewe zishughulikie kivyakevyake
Kwani nini maana ya my? Je kosa kuitwa? Kwani kipapuchi chako kitang'oka ukiitwa my?Imekuwa kawaida mabinti kuwaita vijana "MY" wakati wa kuchat, either WhatsApp, Facebook, Sms n.k. Sasa mi najiuliza hii sentesi nusu "My..." maana yake nini?
Ni maneno gani huwa yanaachwa bila kumaliziwa hapo mbele ya "My..."?
Sijui wengine mnajisikiaje kuitwa " My..., ila Binafsi huwa sipendi kabisa kuitwa "My" ovyo ovyo, maana unafanya nijiulize maswali mengi kichwani, My, nani sasa? My husband? My boyfriend? My love? Au my nini? Hili neno liko romantic kidogo hasa linapotamkwa kwa jinsia tofauti! [emoji23][emoji23]
Sasa kwa nini wadada mnapenda kutuita "My..."?
Na kwa nini huwa mnaishia hapo My? Si muwe mnamalizia mfano my friend, au my babe n.k, [emoji1]
Na je wanaume wenzangu mnajisikiaje mnapoitwa na wadada My?
Mambo nyingine unapotezea tu.Huku kwetu Kwamtogole hatulijui hilo neno
Sawa MY [emoji3] [emoji3]jaman my,tusameheni tumezoea tu kuuta hvy,,, sawa my
Unaongea na jinsia gani mkuu?Kwani nini maana ya my? Je kosa kuitwa? Kwani kipapuchi chako kitang'oka ukiitwa my?
Kwani ukiitwa mpenzi ni kosa?
Tatizo mnamaanish tofauti[emoji196] [emoji241]
Hiyoapoo[emoji108]Unaongea na jinsia gani mkuu?