wanaume na nyie siku hizi mmesahau wajibu wenu kwa wanawake,siku hizi nyie ndiyo mwataka kulelewa,ndiyo maana tunawaogopa mmezidi kwa mizinga,kuliko ukae li mwanaume ambalo limebweteka lina subiri mwanamke akahustle si bora kuishi maisha ya peke yako kuliko kukutana na hizo stress,ada za watoto mama,bili zote analipa mama,matumiz mama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,sasa wewe una faida gani?kila mmoja apambane na hali yake lol!!waoaji wapo tatizo nyie wanawake mnachagua sana. Mkae mkijua ukichagua sana nazi utaishia kupata koroma
Tuolewe na nani?na nyie wanaume suruali? pambaneni na hali zenu!!au nawe unatafuta wa kukulea?maana nyie ndiyo zenu siku hizi mfyuu!!Habari zenu wadau wa JF.?
Hili swala sasa linaenda kuwa janga la taifa kama mengine, unakuta Mdada mkubwa kabisa amekaa tu badala aolewe amebweteka tu.
Ugali wa nyumbani unawaponza, amka olewa tafuta ugali wako na mumeo miaka 35 bado umekaa tu khaaa.!!
Acheni ujinga oleweni.!
We Mdada una akiliNi kweli mpz, ila amini nakwambia ipo siku utampata atakayejua thamani ya penzi lako,
Yaan kuna baadhi ya wanaume na wanawake ambao ni vichomi kweli kwenye mahusiano sijui huwa wanamapepo ya namna gani. Pole sana mydear kuna watu wengi wanateseka sana kwa mahusiano. Ila i hope Mungu ataweka mkono mamii na utakuwa normal kama watu wengine.
Hahahahaaaa nilituliaga nilivyo rudi kuna mkuu akauliza "ndio umerudi mkuu" hahahahaaaa.Rafik angu ukianzaga kuanzisha uzi ni mfululizo tu
Back to topic hakuna waoaji kama ww apo nakusubir na andunje nani ataanza kutoa posa
ukiniletea muoajiHebu muolewe huko muache ubishi. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Heaven Sent unaolewa lini?
Jiandae kesho namleta.ukiniletea muoaji
Can't wait jomoniiiJiandae kesho namleta.
Habari zenu wadau wa JF,
Hili swala sasa linaenda kuwa janga la taifa kama mengine, unakuta mdada mkubwa kabisa amekaa tu badala aolewe amebweteka tu.
Ugali wa nyumbani unawaponza, amka olewa tafuta ugali wako na mumeo miaka 35 bado umekaa tu khaaa!
Acheni ujinga oleweni!
Mwisho Wa kuzeeka kesho.Can't wait jomoniii
Na wa kuona aibu[emoji13] [emoji13] [emoji13]Mwisho Wa kuzeeka kesho.
Aaah kabisa, na Wa stressNa wa kuona aibu[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Tunataka sana, ila nyie ndio hamtutaki, mnasubiri wenye hela, mtazeeka bila ndoa.Kama kweli ni pm tulianzishe.
Teh!muoaji mwenyewe kama wewe pyuu bora kukaa mwenyewe
Hapo sasa!Kuoa au kuolewa vyote vinategemeana.Now days wanaume kuoa hawataki sasa hao wadada waolewe na nani ???
Sent using Jamii Forums mobile app