Pole sana bestSikuwahi kumkosea nandomana anatafuta suluhisho tuyaweke sawa ila nihivi nilichogundua mwanaume akijua unampenda atakutesa sana,mwanaume sio wakumwamini,wala sio mtu wakumueka moyoni kama unaamua kuwa Na mwanaume kuwa nae kumaliza shida za mwili sepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikwambie dear unaongea ukweli namimi napenda mtu anaenishauri unajua mwanamke tabia unabadilishwa Na mwanaume unakuta umeteseka wewe mpaka unasema yes ndio mzee hakika bola niishi mwenyewe sio mwanaume sitarajii kupenda tenaPole sana best
Ila dini zinakataza tusifanye matusi, tunatakiwa kufanya tendo la ndoa. Mshirikishe Mungu atakupa hitaji la moyo wako.
Hilo kwel kuna jamaa nilimshudia akimtesa sana demu wake kisa kapedwa, nilimuonea huruma sana yule dada. Ila si wote wako hivyo wengine tunawaeshimu sana.Sikuwahi kumkosea nandomana anatafuta suluhisho tuyaweke sawa ila nihivi nilichogundua mwanaume akijua unampenda atakutesa sana,mwanaume sio wakumwamini,wala sio mtu wakumueka moyoni kama unaamua kuwa Na mwanaume kuwa nae kumaliza shida za mwili sepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi sasa hivi wanataka waolewe wao
Yaani kuibadilisha akili yangu inaitaji maombi kiukweli yaani mwanaume tucheke tuongee ila ukiingiza mapenz urafiki unakufa hapohapoHilo kwel kuna jamaa nilimshudia akimtesa sana demu wake kisa kapedwa, nilimuonea huruma sana yule dada. Ila si wote wako hivyo wengine tunawaeshimu sana.
Km mmwaoaji wapo tatizo nyie wanawake mnachagua sana. Mkae mkijua ukichagua sana nazi utaishia kupata koroma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahahaaaa nakuja pm unielekeze
Njoo kwangu utulieYaani kuibadilisha akili yangu inaitaji maombi kiukweli yaani mwanaume tucheke tuongee ila ukiingiza mapenz urafiki unakufa hapohapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mpz, ila amini nakwambia ipo siku utampata atakayejua thamani ya penzi lako,Nikwambie dear unaongea ukweli namimi napenda mtu anaenishauri unajua mwanamke tabia unabadilishwa Na mwanaume unakuta umeteseka wewe mpaka unasema yes ndio mzee hakika bola niishi mwenyewe sio mwanaume sitarajii kupenda tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka Sasa ushamaliza shida za mwili na kusepa kwa wangapi dada...?Sikuwahi kumkosea nandomana anatafuta suluhisho tuyaweke sawa ila nihivi nilichogundua mwanaume akijua unampenda atakutesa sana,mwanaume sio wakumwamini,wala sio mtu wakumueka moyoni kama unaamua kuwa Na mwanaume kuwa nae kumaliza shida za mwili sepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhh mbona m cjaona hil jamaan kwelWengi sasa hivi wanataka waolewe wao
Wapo wengi
Nisikilize umeninukuu vibaya nimesema kwa wanaume ambao nimashoga wengi mahanisi unajua kuna mahanisi waliozaliwa nao huyu ataakiniambia anioe nakubali kiukweli ila kunahanisi wakuingiliwa nyumaMpaka Sasa ushamaliza shida za mwili na kusepa kwa wangapi dada...?
Sishabiki hili swala la kuolewa hapa tupo wengi tuu ambao tumetoka kwenye familia za single mother tena wangu ni jembe haswa ila sikubaliani na mtazamo wako tuu kuhusu ili swala na kujumuisha wanaume wote kwenye ili swala.
Unapokosea kufanya selection sahihi ya mtuu wa kumpa papuchi usilalamike sana akikutenda move on endelea na harakati nyengine usilamike hovyo mpaka unahitimisha wanaume makhanisi unakosea Sana Dada.
Mmmmmmh sijui kama yupo Na sijui kama nitapenda tena ila namuachia Mungu Kazi yakeNi kweli mpz, ila amini nakwambia ipo siku utampata atakayejua thamani ya penzi lako,
Yaan kuna baadhi ya wanaume na wanawake ambao ni vichomi kweli kwenye mahusiano sijui huwa wanamapepo ya namna gani. Pole sana mydear kuna watu wengi wanateseka sana kwa mahusiano. Ila i hope Mungu ataweka mkono mamii na utakuwa normal kama watu wengine.
Ok tumekuelewa.weka exception anaweza kuwa amekusoma huku akakupiga chini.Wanaume hamna