mi am quite broke saivi,na yeye awe broke?in the name of love,HAPANA
Siku hizi kila kitu pesa pesa hadi inakatisha tamaa.
Kwa mwendo huo ndio maana watu wanaangalia physical beauty unategesha ulimbo wa pesa unajipigia
mi am quite broke saivi,na yeye awe broke?in the name of love,HAPANA
huwa nawaambia wanaume wenzangu tafuteni pesa . wanawake wa sasa wameweka tamaa mbele. Pesa ndio Kila kitu kwa Hawa viumbe wa usiku hizi. Ukiwa nazo utafanya /utaamua unachotaka na utaheshimiwa.
Tafuteni pesa kwanza na hayo yote mtayapata.
money, power and respect.
Dah. Polen sana. Ila money is not the first priority in a relatship however is part of. So if u have give it to her. Kama huna sit down muongee. After that utajua what kind of woman is that. Easy like that
i dont drink pombe mkuu,
ntasoma upepo na mtu mwenyewe,ndoa mbona ndo gia yenu kutupata kumbe uongo,
Ukiona nakutangazia ndoa siku za mwanzo na wewe ukaingia kingi utakuwa mzembe sana au na we umeamua kunilia hela huku ukijua hamna chochote. Kuna wanaokuwa serious na uhusiano na wanataka kujenga familia ila mnawakatisha tamaa kwa namna mnavyowakamua
Mkuu vijana tunaogopa hata kuoa kwa kuogopa gharama za kumgharimia yeye tu! Sie wafanyakazi mshahara wote utaishia huko. Unakuta mlivyoanza ni kawaida tu! Unajua first date huwezi ukamuita aje kwako. Mtaenda sehemu mkala na kunywa juice. Sasa atataka hayo ndio yawe maisha yenu siku zote. Na miaka inavyozidi kwenda anauliza utanioa lini? Au anabeba mimba ili umuoe! Mi ntakuoaje na we upo kisela zaidi? Na baadaye zitakuja lawama za umenichezea na kuniacha, loh! Na hawa waliobahatika kuingia na chuoni ndio balaa kabisa. Yaani maisha ya uchumba siku hizi huwezi kuta mdada anakushauri kuhusu kununua kiwanja, kujenga au kuwekeza. Sana sana atakushauri ni ununue gari basi.
hehehhe my dear,siku ukishaingizwa kingi maybe u wil know better
nlishakuwaga na ths guy,ukimuona utasema he is well off vibayaa mno,na me nkajua hvo,mapema tu kwny uhusiano akanieleza his life is not straight yet na kweli by then we were both in school japo ye mfanyakazi,mi nkaona sawa,and i was happy he wasnt faking anything,mtoto wa kike nkaendelea nae and i wasnt expecting anythng from him,..he smtymz ran out of cash and i had to supplement vitu mi sikuona shida,but alikuja kunitosa kweupee na kunisumbua sana badae and i wondered,I TOTALLY DONT WANT TO DATE A BROKE GUY EVERRRR AGAIN,mana ni wasumbufu tuuu,af saiv unambie nimdate mtu kiholela tu in the name of love,NO,LAZMA NIANGALIE POTENTIAL YA MTU KWANZA
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu
hahah,hyo ndoa inshaallah kama ipo ipo tu,..kwani na sie unafikiri hatukatishwi tamaa na vitendo vya kihuni vya some men,huyo anaetafta ndoa mwnyw kashachakaza watoto wa watu wakutosha,anategemea nini,
Usiogope mdogo wangu mwombe Mungu atakupa ambaye atakuwa tayari kukaa na wewe hata kama mkila ugali na chumvi. Na wanawake wa namna hiyo wapo wengi tu, hao wabovu wachache wasikukatishe tamaa hata kidogo.
Hao walichakazana, tatizo mnafikiriaga upande wenu tu kwamba ndio mnaachwa. Wanaume huwa wanaumia kimya kimya hawatangazi kuachwa! Na wengine anaoachana nao ni kwa sababu wametofautiana interest na wachunaji. Nikishaona uko kimatumizi zaidi nasepa mapemaaaa na we unaanza kulalamika nimekuacha.!
aisee, kazi mnayo haswa, lakini mbona nina imani wadada wanaojitambua wapo sana, ila nyie mnawataka hao masista duu wa kukutana nao kwenye mastarehe huko ndio mnawaona wajanja, lazima ile kwenu.
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu
Potentiality ya mtu huonekana kwa shughuli za kimaendeleo na mawazo yake kichwani. Haiônekani kwenye matumizi ya kukuhonga wewe na kunywa bia. Ndio maana wengi mnadondokea kwa waume za watu na kuwa nyumba ndogo. Hamna mnachokifikiri chenye kuunganisha jana leo na kesho
Ha,ha,ha. Mkuu mpaka sasa tunaogopa hata kuingia kwenye uhusiano na watu waliopitia higher learning. Yaani ni wachunaji balaa.
Mada nzuri sana...sasa hivi tuna kizazi ambacho kinatazama maisha tofauti sana....unaweza kumwita mwanamke...nyumbani kwako...ndani una unga mchele, samaki ,kuku na kila kitu....lakini mkashangaa mnaenda kununua chips....badala ya kutake hardly 15 min kupika..ila wakati mwingine inategemea MISINGI ya mahusiano yenu
mbona simple tu, bonyeza 'like' ikishatokea bonyeza "dislike"I wish kungekua na kibutton cha "dislike"