Wadada jitahidini kupaka mafuta makalio yenu

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
32,071
Points
2,000

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
32,071 2,000
Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.

Upande wa pili ndio hii shida imeshamiri yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.

Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
 
Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Messages
978
Points
1,000

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined May 18, 2017
978 1,000
Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.

Upande wa pili ndio mna hiyo shida yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.

Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Dongo limekupata....
 
Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
1,625
Points
2,000

Cowman

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
1,625 2,000
Hilo gonjwa liko upande wa pili kwa wanawake wala halipo hivyo tuacheni. Tulio wengi tukitoka kuoga mpaka mwili mzima uenee mafuta ndio tunaanza kuvaa nguo.

Upande wa pili ndio mna hiyo shida yaani unaweza ona mwanaume kapauka kuanzia uso, midomo mpaka viganja vya mikono sasa kama huyo unadhani atakuwa kakumbuka kupaka kalio mafuta kweli.

Penye ukweli usemwe na sio kila siku kulalia upande mmoja.
Jaribu kuheshimu baba zako, huku shamba baada ya kujisaidia tunajisafisha kwa majani ya miti sasa ukipaka mafuta yakawa laini utachanwa sana.
 
Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
32,071
Points
2,000

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
32,071 2,000
Jaribu kuheshimu baba zako, huku shamba baada ya kujisaidia tunajisafisha kwa majani ya miti sasa ukipaka mafuta yakawa laini utachanwa sana.
Hahaaaa. Hivyo baba kudharauliwa ni vibaya ila ikiwa mama ni sawa. mmmhhh.

Inatakiwa mzani ubalance kwa sababu wote wanawake kwa wanaume kuna ambao hicho kitu hawakifanyi.
 
Forum statistics

Threads 1,344,382
Members 515,441
Posts 32,818,409
Top