Kuna mrembo mmoja alikuwa ni mpenzi wangu tukaja kuachana kutokana na mambo zake za tamaa tu. Ni mwezi wa 4 sasa toka tuachane na tukawa tumekata mawasliano kabisa kila mtu na 50 zake.
Cha ajabu nakushangaza majuzi tu kanipigia simu akidai eti ooh! jamani umetupa jongoo na mti wake,sio vizuri alafu leo siku ya kuzaliwa kwangu hata ujaniambia happy birthday?
Jaman... sasa nini mana yakutaka kila mtu ale 50 zake?