Yaani umenichekesha sana lol.
Kuna mrembo mmoja alikuwa ni mpenzi wangu tukaja kuachana kutokana na mambo zake za tamaa tu. Ni mwezi wa 4 sasa toka tuachane na tukawa tumekata mawasliano kabisa kila mtu na 50 zake.
Cha ajabu nakushangaza majuzi tu kanipigia simu akidai eti ooh! jamani umetupa jongoo na mti wake,sio vizuri alafu leo siku ya kuzaliwa kwangu hata ujaniambia happy birthday?
Jaman... sasa nini mana yakutaka kila mtu ale 50 zake?
tabia mkuu naco vinginevyo asee!
mo1, 2 ,2temane ,# 2kawa, 2mekata, kbx, m2, 50 2. ume2pa, j. co, cku, ykuzaliw,y m2, 50
HorsePower hebu njoo uniambie hizi zina maana gani mkuu
Huwa nikiona staili hiyo ya maandishi huwa inaninyong'onyeza mno!
kwani kuna kosa au yeye ndio tutusa mamie, muandiko wake mbaya km akili yake vile.lkn si kosa lake ameingia jf kwa pupaa angalia amejiunga lini na maudhurio yake.Mwambie huyo mmoja anayekusumbua kuwa abadilike, sio ktujumuisha wote kwa kosa la mmoja.
Mimi nimeshindwa kuelewa mkuu HorsePower ndo maana nikasema hata nikuite kama unaelewa unifafanulie
Mimi na umri huu kweli naweza kuelewa chochote hapo mjukuu wangu? Nimetoka kapa!!!
Ila najiuliza kipuuzi, hivi kuna raha gani ya kuandika hivyo?
swali lako nigum afu baya au we unaonaje?