Mdada mrembo na graduate wa ualimu kachukuliwa kiraini na Albno. Hili ni somo kubwa kwa wadada zetu ambao si tu wanachagua bali huenda mbele na kuangalia elimu, pesa, mali nk toka kwa wanaume wanaowahitaji!!! hakika mungu atampa dada huyu faraja kubwa katika maisha yake, KWA MAISHA YA KIBONGO SIYO RAHISI KIASI HICHI.
una uhakika gani hiyo pysical appearance tuu
1...huenda jamaa ana kisu /mawe ya hatar ndo mana demu kampend
Ngoja wagonge 35 uone ka watachagua.
una uhakika gani hiyo pysical appearance tuu
1...huenda jamaa ana kisu /mawe ya hatar ndo mana demu kampend
Hhaha, Mahaba Niteketeze Mahaba Nimalize.Mkuu hii insu peleka kule jukwaa la mahaba niue.
kweli leo nimejua form 4 division 0 zinaoka wap? ni kutoelewa maswali. kwan mleta uzi kaulizia miaka? mungu nusuru taifa ili