Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,292
Maskini ya Mungu, hadi hurumaSasa wakute wakila nyumbani au vyumbani mwao, kama machokoraa![]()
Maskini ya Mungu, hadi hurumaSasa wakute wakila nyumbani au vyumbani mwao, kama machokoraa![]()
Hiyo picha inawakilisha kile tuitacho "fast food" ama wahispaniola wanaita "comida rapido". Watu wengi wanakufa majumbani kwa sababu ya hivi vyakula vyenye migahawa yenye majina mazuri sijui McDonalds, KFC, Papa John's n.k.Hv kwanini watu mnakula migahawani.mi nikienda kukutana na mtu nakuwa nimeshiba nakunywa tu maji
Tumekupata vyema msikilizaji wetu Nzi kutoka Organic food kagongwa kahama Tanzania.Mwanamke mshamba, na huyo aliyemtoa out naye mshamba. Mwanamke hayuko food conscious. Dunia ya leo, iliyojaa matatizo ya mabalaa ya njaa, mabadiliko ya tabia nchi, kuacha chakula hivyo ni sawa na kuwatusi wasio na chakula, na kuitusi dunia kwa rasilimali zilizotumika kuzalisha na kusafirisha malighafi iliyotumika kuwezesha hizo chips, kuku n.k. Aliyemtoa out ni mshamba kwa sababu out gani ya kwenda kula junk food? Yaani hadi leo watu bado wanaenda out za kula makuku ya KFC? Hapo nafikiri si chini ya buku mbawa zilimtoka. Sasa kwa elfu 20, si angepata organic food safi kabisa na juisi orijino na chenji kubaki?
Ewe mtanzania, kwenda kula KFC, Merry Brown, Subway, Burger King, Macdonald n.k., siyo ufahari au umatawi ya juu. Ni ushamba na ulimbukeni. Ndiyo maana kila kukicha tatizo la obesity linaongezeka. Mtaanza kupukutika kwa vifo vya ghafla kutokana na magonjwa ya pressure!
Elimu ya lishe bado ni changamoto kwa wengi wetu. Enyi wazazi jitahidini mjenge taifa la kesho lenye watu walio na afya njema. Yaani upatikanaji wa organic food ni wa bwerere, halafu mtu anaenda kujifakamia junkies za bei mbaya.
Hao ma yo yo watoto mchelemchele wananguvu hata ya kugonga hivyo viwili basi?Hata huyo mwanaume ni mshamba, kwanini hakuomba afungiwe aondoke nacho, wakale wakati wanasubiri cha pili!?
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****


Wanaleta uzungu hata Kingereza hawajui![]()
Huu hapa ni bonge la ushamba sijui nani aliwadanganya kuacha au kubakisha chakula kwenye sahani ndio ustaarabu
Akina dada mnatuangusha sana nyie ndio mna haka katabia kakuacha chakula kama unaona umeshiba si useme usiletewe chakula au ufungiwe take away nini sasa kugusa chakula na kuacha hivi
Ifike mahali mthamini na kukiheshimu chakula ukifanya hivi ata uyo bwana yako au ndugu yako anaona hufai nani anataka mrembo muaribifu si umaskini utatawala
Hii picha niliipiga baada ya mdada aliyekaa pembeni yangu kuondoka aliagiziwa chakula na msela wake akakigusagusa kama hivyo alafu akaleta pozi ka 'ooh no i cant eat chote' (hovyooo) yaani i could see the disappointment usoni mwa kaka aliyenunua msosi huo
Acheni hizi mbwembwe. Period
!Ma slay queen ni hasara tupuNa slay queen hawafai

Kweli kabsa,,, ila kwa pesa yake sidhani km anaweza fanya ivo,,,Ma slay queen ni hasara tupu![]()
Aanzie wapi ila za wenzie ndo za kuchezeaKweli kabsa,,, ila kwa pesa yake sidhani km anaweza fanya ivo,,,