Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Wadada: Huu ni bonge la ushamba

uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Kama hizi?
abebf8cab0b3d57218287c9c24e6e839.jpg
4a4bf351e7451f93f51d15c8ffad0eb3.jpg
 
Jamani tuwe waelewa,unaweza letewa chakula kikakushinda na ukijilazmisha unaweza rudisha chenchi mbele za watu (kutapika) binafsi huwa inanitokea Mara nyingi sana,naweza kuagiza chakula kama vile ugali,chipsi,samaki au nyama ya kuchemshwa au ya kuchomwa nakula kidogo then naanza kuhc kichefu chefu so siwezi kujilazmisha wakati naifaham hali yangu kiafya
Hata huyo unaweza kukuta chakula kilimshinda pengine kutokana na mafuta waliyoyatumia kupikia chakula yanaweza kuwa na cholesterol (lehemu)
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Huyu ndiye aliyenunua chakula sio kwa Povu hili
 
Mimi yalishawahi kunitokea kipindi cha nyuma.Msichana alikula chipsi mbili tatu.Kisha akanywa soda ya Fanta mpaka usawa wa maandishi kwa chini kidogo.Kisha akamwita muhudumu aje kuchukua vyombo.Kwa kweli sikujivunga nilimwambia muhudumu nenda nitakuita.Kisha nikaisogeza sahani ya chips nikala zote na soda pia nikainywa yote.Tulipotoka pale yule msichana alijua kuwa alifanya kosa na aliniomba msamaha.Kwenye mambo ya msingi,huwa sipendagi dharau!
 
Wanawake wa Dar Kwani wanapishana na kaka zao basi!!!
Eti Mwanaume naye akakubali kunyanyuka chakula hata hakijaguswa!!! Huo ujinga sisi wanaume wa mikoani hatufanyi!!!
Sawa mkuu
 
Huyo jamaa nae boya kweli si angekomalia kiishe!
 
Back
Top Bottom