Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Wadada: Huu ni bonge la ushamba

ndo ivo
Kumma nyingi mbaya san sijui madem wa bongo mpoje..af unakuta uchi nao umepauka khaaa
Duu Mungu akusamehe unajua unajipa laana hata dada shangazi wanatukanwa huko waliko, sio vizuri mkuu
 
Mwanamke mshamba, na huyo aliyemtoa out naye mshamba. Mwanamke hayuko food conscious. Dunia ya leo, iliyojaa matatizo ya mabalaa ya njaa, mabadiliko ya tabia nchi, kuacha chakula hivyo ni sawa na kuwatusi wasio na chakula, na kuitusi dunia kwa rasilimali zilizotumika kuzalisha na kusafirisha malighafi iliyotumika kuwezesha hizo chips, kuku n.k. Aliyemtoa out ni mshamba kwa sababu out gani ya kwenda kula junk food? Yaani hadi leo watu bado wanaenda out za kula makuku ya KFC? Hapo nafikiri si chini ya buku mbawa zilimtoka. Sasa kwa elfu 20, si angepata organic food safi kabisa na juisi orijino na chenji kubaki?

Ewe mtanzania, kwenda kula KFC, Merry Brown, Subway, Burger King, Macdonald n.k., siyo ufahari au umatawi ya juu. Ni ushamba na ulimbukeni. Ndiyo maana kila kukicha tatizo la obesity linaongezeka. Mtaanza kupukutika kwa vifo vya ghafla kutokana na magonjwa ya pressure!

Elimu ya lishe bado ni changamoto kwa wengi wetu. Enyi wazazi jitahidini mjenge taifa la kesho lenye watu walio na afya njema. Yaani upatikanaji wa organic food ni wa bwerere, halafu mtu anaenda kujifakamia junkies za bei mbaya.
 
Sasa ngoja ajambe ndio utajua huyu mchana kashindia maharage na dona ila alikuwa analeta pozi tu KFC.


Uzuri wa sehem hizo unaweza kuwaambia wakufungue kama kimekushinda lkn watu wengi wanajifanyaga kuacha...shenzy kbs
Wanafanyaga sifa.
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
hahaha duh
 
Huo si ustaarabu angeomba afungiwe take away ili hata kama ni aibu akifika nyumbani akimalizie kwa uhuru.
aibu hyo vip? kwan wakiwa huko chumbani wataoneana aibu km co ushamba unaomsumbua limbukeni huyu...mi nkiitwa jmn nakula kwanza nishibe then mchezo niumudu vzr
 
Wengi wanaofanyaga hivi ni wale wanafunzi wa chuo ambao ni washamba afu wanataka kuonekana wajanja... Mie ndo ngemuagizia, angekula kibao cha uso. Kuna watu wanalala na njaa jamani.
 
Kuna watu wanalala na njaa jamani.
 
Back
Top Bottom