Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Wadada: Huu ni bonge la ushamba

7c24a5962e1df59e921785e985eba77b.jpg

Huu hapa ni bonge la ushamba sijui nani aliwadanganya kuacha au kubakisha chakula kwenye sahani ndio ustaarabu
Akina dada mnatuangusha sana nyie ndio mna haka katabia kakuacha chakula kama unaona umeshiba si useme usiletewe chakula au ufungiwe take away nini sasa kugusa chakula na kuacha hivi
Ifike mahali mthamini na kukiheshimu chakula ukifanya hivi ata uyo bwana yako au ndugu yako anaona hufai nani anataka mrembo muaribifu si umaskini utatawala

Hii picha niliipiga baada ya mdada aliyekaa pembeni yangu kuondoka aliagiziwa chakula na msela wake akakigusagusa kama hivyo alafu akaleta pozi ka 'ooh no i cant eat chote' (hovyooo) yaani i could see the disappointment usoni mwa kaka aliyenunua msosi huo
Acheni hizi mbwembwe. Period

Kuna mtu kaisha chaniwa mkeka hapo
.
 
Hata huyo mwanaume ni mshamba, kwanini hakuomba afungiwe aondoke nacho, wakale wakati wanasubiri cha pili!?
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Hahahahahah
Sikutaka kucheka jaman ila imebidi
 
Mwanamke mshamba, na huyo aliyemtoa out naye mshamba. Mwanamke hayuko food conscious. Dunia ya leo, iliyojaa matatizo ya mabalaa ya njaa, mabadiliko ya tabia nchi, kuacha chakula hivyo ni sawa na kuwatusi wasio na chakula, na kuitusi dunia kwa rasilimali zilizotumika kuzalisha na kusafirisha malighafi iliyotumika kuwezesha hizo chips, kuku n.k. Aliyemtoa out ni mshamba kwa sababu out gani ya kwenda kula junk food? Yaani hadi leo watu bado wanaenda out za kula makuku ya KFC? Hapo nafikiri si chini ya buku mbawa zilimtoka. Sasa kwa elfu 20, si angepata organic food safi kabisa na juisi orijino na chenji kubaki?

Ewe mtanzania, kwenda kula KFC, Merry Brown, Subway, Burger King, Macdonald n.k., siyo ufahari au umatawi ya juu. Ni ushamba na ulimbukeni. Ndiyo maana kila kukicha tatizo la obesity linaongezeka. Mtaanza kupukutika kwa vifo vya ghafla kutokana na magonjwa ya pressure!

Elimu ya lishe bado ni changamoto kwa wengi wetu. Enyi wazazi jitahidini mjenge taifa la kesho lenye watu walio na afya njema. Yaani upatikanaji wa organic food ni wa bwerere, halafu mtu anaenda kujifakamia junkies za bei mbaya.
True
 
Hii picha alichukua mdada mmoja mjasiriamali, juzi akapost insta, mwanzisha thredi alipaswa acknowledge source.
 
avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Hatari sana! 😀😀😀
 
Jamaa kagharamia KENTUCKY, Mtoto kaleta POZI.

Ingekuwa Mimi ningemuambia Mtoto, subiri kwanza.

Na kingechofuata ni Mimi kupeleka PWANI kila kitu na kuhakikisha nimemaliza.

Sio freshi kuchezea Chakula, wakati kuna wengine hawana uhakika hata wa MLO mmoja
 
Back
Top Bottom