hahaaa 1st commentator kaua mnoo aiseeeeHahaha niwekee hapa picha ili niiangalie picha nikumbuke na maneno yenu!...First commentator kaua sana na comment yake
Hahahaha, halafu hapo anaagiza na penasol ,na maji ya KilimanjaroWanakushukuru na kukuombea juu. Sema ni utoto tu. Kuna watu hawapendi kuonekana wanakula sana wakiwa na bf zao. Kumbe wangejua bf wenyewe hawataki huo ujinga
HII PICHA HAUJAIPIGA WEWE, HII PICHA ILIKUWEPO MTANDAO(TWITTER) LAST YEAR NA MTU ALIYE POST NAMFAHAMU VIZURI SEMA TUWALIZIE KUWAJADILI JUU YA HII TABIA![]()
Huu hapa ni bonge la ushamba sijui nani aliwadanganya kuacha au kubakisha chakula kwenye sahani ndio ustaarabu
Akina dada mnatuangusha sana nyie ndio mna haka katabia kakuacha chakula kama unaona umeshiba si useme usiletewe chakula au ufungiwe take away nini sasa kugusa chakula na kuacha hivi
Ifike mahali mthamini na kukiheshimu chakula ukifanya hivi ata uyo bwana yako au ndugu yako anaona hufai nani anataka mrembo muaribifu si umaskini utatawala
Hii picha niliipiga baada ya mdada aliyekaa pembeni yangu kuondoka aliagiziwa chakula na msela wake akakigusagusa kama hivyo alafu akaleta pozi ka 'ooh no i cant eat chote' (hovyooo) yaani i could see the disappointment usoni mwa kaka aliyenunua msosi huo
Acheni hizi mbwembwe. Period
Shikamoo...Nimeishia kucheka....uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Mie kuna mmoja nilimbebesha chakula nkamwambia usiniletee utani nimekilipia kibebe utaenda kulia kwenu![]()
Huu hapa ni bonge la ushamba sijui nani aliwadanganya kuacha au kubakisha chakula kwenye sahani ndio ustaarabu
Akina dada mnatuangusha sana nyie ndio mna haka katabia kakuacha chakula kama unaona umeshiba si useme usiletewe chakula au ufungiwe take away nini sasa kugusa chakula na kuacha hivi
Ifike mahali mthamini na kukiheshimu chakula ukifanya hivi ata uyo bwana yako au ndugu yako anaona hufai nani anataka mrembo muaribifu si umaskini utatawala
Hii picha niliipiga baada ya mdada aliyekaa pembeni yangu kuondoka aliagiziwa chakula na msela wake akakigusagusa kama hivyo alafu akaleta pozi ka 'ooh no i cant eat chote' (hovyooo) yaani i could see the disappointment usoni mwa kaka aliyenunua msosi huo
Acheni hizi mbwembwe. Period
Mimi vyakula vya Kfc, Marrybrown siviwezi kabisa!! Bora uende breakpoint kupata ugali na samakiKwa jinsi hicho chakula kilivyoliwa,kubeba na kumpa mtu mwingine sio sawa.
Tunaweza kumlaumu dada aliebakisha lakinni hatujui taste ya hicho chakula. Ina maana humu hamna mtu aliewahi kuagiza chakula kikamshinda kwa ubaya wake?
To be honest mimi hio KFC siwezi kumaliza, sio kwamba nimeshiba ila hayo ma junky food yashanikinai na sasa hivi naangalia sana mafuta na vitu kama hivyo.
Safi sanaMimi fiesta ya mwaka juzi Arusha, nilipiga mtu makofi kisa ujinga Kama huo!we chipsi mishikaki mitatu mtu kala kipande kimoja tu etii ooh zimepoa manina walahii niliwaka balaa..akaanza ooh unanisamanga kisa chakula
Ila brake point nae bei za sifa!Mimi vyakula vya Kfc, Marrybrown siviwezi kabisa!! Bora uende breakpoint kupata ugali na samaki
HA HAHA HAHAAAA MKUU UPO SAHIHI KABISAA..KUNA WENYE K MBAYA BWANA MHHH..WAKUTA LIMETUNA KAMA USO wa pweza

Hilo ni tatizo la sehemu nyingi nzuri za msosi. Bei kubwa bila sababu za msngiIla brake point nae bei za sifa!
Duu!uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Wewe jamaa kama mimi!!! Akizingua naukamua wote, Kama ataniona mshamba atajua mwenyewe!!!Huo upuuzi unaniumaga sana...mimi nikinunua msosi dem akishindwa kumaliza huwa nakimalizia mimi mwenyewe siwezi kuacha msosi wa hivyo na hela nimelipa..bora aagize maji ya kero tu kama hana njaa