Ndio tunajifunza fani ati, tukitupia poda kama maiti,wigi lisilofuata direction, kutokunukia na viatu pair moja, mbona ni hatarious!!Hahaha mbona tutakuwa kama midoli ndugu yangu. Fani za watu hizo ujue
Hapana bana, Tusije tukaua watoto wa watu kwa mshtuko teh tehNdio tunajifunza fani ati, tukitupia poda kama maiti,wigi lisilofuata direction, kutokunukia na viatu pair moja, mbona ni hatarious!!
Kufa hawafi ila nyuzi zitakuwa nyingi hadi tuwe wataalamu tukijipaka foundation ifuate sheria.Hapana bana, Tusije tukaua watoto wa watu kwa mshtuko teh teh
Hahah sisi hatuna habari, foundation itatii tu amri kivyovyoteKufa hawafi ila nyuzi zitakuwa nyingi hadi tuwe wataalamu tukijipaka foundation ifuate sheria.
Sasa je! Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hivyo kwasasa watuvumilie tu maana sio kazi ndogo ati.Hahah sisi hatuna habari, foundation itatii tu amri kivyovyote
Watajutraa kutufahamuSasa je! Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hivyo kwasasa watuvumilie tu maana sio kazi ndogo ati.
Tupaze sauti mpaka imfikieHivi mheshimiwa nape hajaona hili suala angalau atoe muongozo?
Naona kila siku kakomalia tu bunge lisiwe live wakati jamii huku inapoteza tamaduni!!
Shame kwakweli
Mi siamini kama mtu unaweza kununua foundation isiyo ya rangi yako vinginevyo utakuwa unatania aisee. Sasa nikadhani labda kuna siku tu huwa inakataa kutii sheria, au labda wanajikandika powder nyingi juu yakeHahahaaaa!! Hivi ni foundation ndio inatakiwa kutii sheria au mchagua foundation?
Hahahaaaa! Aisee haya mambo ni kipaji, ukikurupuka ndio unaonekana kibwengo.Mi siamini kama mtu unaweza kununua foundation isiyo ya rangi yako vinginevyo utakuwa unatania aisee. Sasa nikadhani labda kuna siku tu huwa inakataa kutii sheria, au labda wanajikandika powder nyingi juu yake
Kweli kabisaaHahahaaaa! Aisee haya mambo ni kipaji, ukikurupuka ndio unaonekana kibwengo.
Hahahaaaaa!! Jamani khaaaah!! Sasa hatuwezi kuwa wote classic basi ndio mtuwache tujikandikeee hizi hizi za buku, mtuzoee tu.
Kwakweli tupazeni sauti naamini watasikua tuTupaze sauti mpaka imfikie
Vipodozivya chini ya viwango visiingizwe nchini na watoto wa kike wawe wanapewa tips za urembo toka mashuleni ili Kina dada wote wapendeze
Duh mpaka nimeshindwa kuelewa kama wamepaka au wamejimwagiaa!!!
Mkuu kwakweli wanatisha kabisaHiyo ya kuwa kama maiti nilishaangaa siku moja kumwona mmoja kwenye kikao kajikandika namna hiyo, aliniondolea utulivu wakati wote nilimkumbuka jirani yetu tuliyemzika muda si mrefu. Tulipomaliza ikabidi niulize kwa dada mwingine eti yule katia madudu gani usoni mbona ni madudu ya maiti, akaishia kunicheka akasema urembo huo!! Khaaa!!
my ribs please! hahaaaa eti jini maimunaKuna make up flan za kishua demu akiwa classic na akipata mrembaji mzuri oooh my God million si pesa utampa bure venye anang'aa
Ila back to uswazi ***** carolite na poda jini maimuna demu kama huyu nikikutana naye asubuh akanisalimia narudi ghetto kulala siku imeshaharibiwa hiyo
Kiongozi, kwani yupo wa humu ambaye unafahamu anavyojiremba? Nyie watu hatari sana!!Zinawabeba sana, Asilimia 98 ya madada waliopo humu ndani bila make up unaweza kukimbia ukajua ni mzimu
Lkn bado atakuwa wa bandia na yy,hapa mwenzako kataka tubaki na virangi vyetu vya kutoka kwa sir GodKuna make up flan za kishua demu akiwa classic na akipata mrembaji mzuri oooh my God million si pesa utampa bure venye anang'aa
Ila back to uswazi ***** carolite na poda jini maimuna demu kama huyu nikikutana naye asubuh akanisalimia narudi ghetto kulala siku imeshaharibiwa hiyo
Mkuu umekutana na 98% ya wadada wa humu??!!!!!!!Zinawabeba sana, Asilimia 98 ya madada waliopo humu ndani bila make up unaweza kukimbia ukajua ni mzimu