Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaa, full suti....Mngoni bahili kuliko wote! Au umeolewa na Mpare nini!
huo siyo ubahili mtani, na-allocate scarce resources efficiently.......
ha haaa, full suti....Mngoni bahili kuliko wote! Au umeolewa na Mpare nini!
best sikuwezi.....Hahahaha. Umenikumbusha drama za amina chifupa (rip). Yaani enzi zile alikuwa anaacha saluni laki hata 5! Anawaambia wamsukie weaving, wakimaliza anasema hajapenda. Hapo na kufumua upya ni hela analipia. Anasukwa hata 3 times. Na analipia weavings zote na asizozipenda anamuachia msusi. Wanamgombeaje? Nilikuwa nikimkuta saluni naandaa mbavu.
umeona eeeh!Na wewe kipindi hicho ulikuwa na Paw huyu huyu au pedeshee flan. Maana sijawahi kusikia kwenye bendi za muziki
wakiita Papaaaa Paw mutoto ya ndama, tajiri ya JF!!
ha haaa, hiyo kiboko....
mimba sometimes deal......
ukiwa mjamzito mambo yako yanakunyookea tu, hata ukiamua nini jamaa litafanya.
ngoja nifanye mpango nipate nyingine, lol!
ha haaa, hiyo ilikuwa ni mimba tu au kulikuwa na kitu kingine?Ila jamaa hatasahau alivyopelekeshwa wakati ule. Anarudi kutoka kazini usiku, mke anamwambia akamtafutie
miguu ya kuku ya kukaanga. Kuna wakati nilimpigia simu kumwambia shemeji nisomee mita, akakubali baada ya
muda kupita namuuliza vipi tayari ananiambia "bwana eh, njoo mwenyewe usinisumbue" .Niliudhika siku hiyo
ha haaa, hiyo ilikuwa ni mimba tu au kulikuwa na kitu kingine?
Namshukuru Mungu sikuwahi kuwa na mimba ya hivyo....
ila kusumbua watu nacho ni kipaji ujue! kama huna hicho kipaji hata iweje hutaweza
wanawake mnakomlicate maishatu...ninyi nyote mlizaliwa warembo.tunanihii gani tena rafiki?
mwenzangu, ni bora kuwa soja
na mimi ndo naelekea kwenye usoja aisee
ha haaa, kwa huyo ntapika tu hata kama kila siku unataka chakula kipikwe mtongani nikuletee mabwepande ntafanya hivyo..... nani anataka mtu apate shida wakati analeta junior?nakupaniaje sasa na junior wangu wa kichaga!
siku nagoma kula mpka uje unipikie mjojovela!
we subiri!
wanawake mnakomlicate maishatu...ninyi nyote mlizaliwa warembo.
wala hakuna haja ya kuweka hizo mavitu kwa vichwa zenu....wengi wenu mmedhani kuamnajiremba
na mwisho wa siku mmeishia kuonekana kamamashangingitu barabarani....uembo sio mbaya ila muwe makini
na urembo/fasheni manake fasheni nyingien haswa za mavazi na hizo za nywele zinawashusha hadhi sana.
nimefurahi kukuona ndugu yangu. Habari za siku nyingi?. mia
Na wewe kipindi hicho ulikuwa na Paw huyu huyu au pedeshee flan. Maana sijawahi kusikia kwenye bendi za muziki
wakiita Papaaaa Paw mutoto ya ndama, tajiri ya JF!!
best sikuwezi.....
kumbe na wewe unaenda salon moja na hao wanaoweza acha laki 5?
kweli mwenzio nahitaji maombi
umeona eeeh!
shostito wangu matawi ya juu,
chezeya mutoto wa mujini...
by the way King'asti bado hujapata tu ile mialiko? nasubiri kwenda kusuuza macho ujue.......
ila unitafutie kabisa na mtu wa kumkopa, wewe utakuwa mdhamini wangu
Mmh, sasa mie napenda kweli kusuka 'utajiju'
mtoto mpana wewe!Ndama mutoto ya ng'ombe ni hawara wa mke wa baba mdogo. Kwa hiyo mie na Paw huwahatulipii kiingilio popote walipo binamu zetu wazairwaa. Upo? Paw tumeanza nae ki baba na mama aisee. Nikiwa sina hela ya saluni alikuwaga ananitengeneza nywele. Ndo maana hata Mapolomoko nilimuambia atasubiri sanaaaa
cc Dark City
Aaah mie tena best. Mjini mahesabu. Hujawahi kukodisha vogue ukaenda kumrusha roho hawara wa mpenzio hahahaha. Unafika unamuambia nilitaka nikujue tu. ngoja nikampitie mr ofcn. Anabaki anagugumia kuambiwa chukua taksii, chezeiya eeh?
Niko juu aisee. You need me as a friend hehehehe. Hautakopeshwa utapewa ofa. Mmmh ngoja nisepe manake naona Bishanga anaanza kuniathiri kisaikolojia lol
mtoto mpana wewe!
gagulo la kisomali lina afadhali! lo!